|
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi na
Mwenyekiti wa Chadema Manispaa ya Moshi Jafary Michael akiwahutubia
wakazi wa mji wa Moshi wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika
viwanja vya Manyema mjini Moshi. |
|
Baadhi ya wananchi wakiwa barabarani
kumsikiliza Meya wa Manispaa ya Moshi katika mkutano wake wa hadhara
uliofanyika katika viwanja vya Manyema. |
|
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiwa
katika mkutano wa hadhara wa Meya wa Manispaa ya Moshi ,Jafary Michael
katika viwanja vya Manyema ,Meya Jafary alikuwa akizungumzia vitendo
vya Uporaji wa Viwanja vya Umma pamoja na tatizo la wafanya biashara
ndogo ndogo maarufu kama wamachinga. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii
Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment