Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasili kwenye Tawi la Makonde lililoko kwenye Kata ya Mingoyo katika Wilaya ya Lindi Mjini huku akipokewa kwa shangwe na vifijo kwa ajili ya mkutano wa kampeni tawini hapo
Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi wa Kata ya Chikonji wakati alipofika kwenye Makao Makuu ya Kata hiyo kwa ajili ya mkutano wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini tarehe 14.12.2014.
Mamia ya wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni ulifanyika katika Kata ya Chikonji iliyoko katika Wilaya ya Lindi Mjini na kuhutubiwa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mama Salma Kikwete tarehe 12.12.2014.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akijiandaa kupokea kadi kutoka kwa Ndugu Abdallah Mohammed Kilimbalimba aliyekuwa mwanachama wa Chama Cha Wananchi (CUF) ambaye aliamua kujiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa mkutano wa kampeni huko Chikonji katika Wilaya ya Lindi Mjini
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa Kata ya Chikonji kwenye mkutano wa kampeni ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini tarehe 14.12.2014.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimchukua mtoto Subira kutoka kwa mama yake ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja wakati wa mkutano wa kampeni huko Chikonji
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimchukua mtoto Subira kutoka kwa mama yake ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja wakati wa mkutano wa kampeni huko Chikonji
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza katika kikao cha ndani na wajumbe wa Tawi la Nanyanje lililopo katika Kata ya Chikonji katika wilaya ya Lindi Mjin
Baadhi ya akina mama wakishangilia kwa hisia kubwa wakati Mama Salma Kikwete alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni katika Kata ya Mingoyo uliofanyika katika Tawi la Makonde tarehe
Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwapungia wananchi wa Kata ya Chikonji wakati alipofika kwenye Makao Makuu ya Kata hiyo kwa ajili ya mkutano wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini tarehe 14.12.2014.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza katika kikao cha ndani na wajumbe wa Tawi la Nanyanje lililopo katika Kata ya Chikonji katika wilaya ya Lindi Mjini tarehe 12.12.2014. PICHA NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment