|
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi
akiendelea na mikutano ya kampeni katika kijiji cha Kisangesangeni
kata ya Kahe akiwanadi wagombea wa nafasi za
Uenyekiti. |
|
Msafara wa Pikipiki ukiongoza kuelekea
kijiji cha Ngaseni kwa ajili ya mikutano ya kampeni ya chama cha
NCCR-Mageuzi. |
|
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji
cha Ngaseni B,Amfrosia Komba akizungumza wakati akiomba kura kwa
wananchi wa kijiji hicho. |
|
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa
,James Mbatia akimnadi mgombea uenyekiti wa kijiji cha Ngaseni
B,Amfrosia Komba ambaye alijitambulisha kuwa binti wa mbunge wa jimbo
la Mbinga Magharibi ,Kepteni John Komba. |
|
Wanakijiji wa Ngaseni B,wakifuatilia
mkutano. |
|
Wagombea wa nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri
ya kijiji cha Ngaseni wakitoa salamu za chama cha NCCR-Mageuzi katika
mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji hicho. |
|
Wanakijiji wa kijiji cha Ngaseni
B,wakiitikia salamu ya chama cha NCCR-Mageuzi. |
|
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi ,James
Mbatia akigawa vitabu kwa wakazi wa kijiji cha
Ngaseni. |
|
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi ,James
Mbatia akiwasili katika kijiji cha Kahe ,jimbo la Vunjo kwa
ajili ya mkutano wa kampeni wa kuwanadi wagombea wa nafasi za
uenyekiti. |
|
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi ,James
Mbatia akiwatuza vijana waliojitokeza kutoa burudani katika mkutano wa
kampeni uliofanyika katika kijiji cha Kahe. |
|
Wananchi katika kijiji cha Kahe wakifuatilia
mkutano wa kampeni wa kuwanadi wagombea wa nafasi za uenyekiti katika
kijiji cha Kahe. |
|
Mwenyekiti Mbatia akiwahutubia wanakijiji wa
Kijiji cha Kahe katika mkutano wa kampeni wa kuwanadi wagombea katika
vijiji mbalimbali katika jimbo la Vunjo. |
|
Mwenyekiti Mbatia akiwahutubia wanachi
katika kijiji cha Orio jimboni Vunjo.. |
|
Mwenyekiti Mbatia akiwahutubia wananchi
katika kijiji cha Uchira jimboni Vunjo. |
|
Wakati Mbatia akiendelea na mikutano katika
mikutano yake ,Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP)
Agustine Mrema naye amefanya mikutano yake katika vijiji mbalimbali
ikiwemo kijiji cha Mamba Kotela kama anavyoonekana katika
picha. |
Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii
kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment