Saturday, November 29, 2014

MAHAFALI YA 5 YA CHUO KIKUU CHA DODOMA YAFANYIKA LEO MJINI DODOMA

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akiongoza mahafali ya tano ya Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika leo katika eneo la Chimwaga,ndani ya Chuo Kikuu cha Dodoma leo.

Sehemu ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye mahafali hayo mara baada ya kutunukiwa Shahada zao mbali mbali leo.wa pili kushoto ni Mtoto wa Ankal bi. Zahra Muhidin Michuzi.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akiwatunuku Shahada ya Uzamivu wahitimu mbali mbali katika Chuo Kikuu hicho cha Dodoma leo.
Wahitimu wa Shahada mbali mbali katika Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa kwenye mahafali hayo.
shangwe kwa wahitimu hao.
Brass Band ya Jeshi la JKT ikiongoza Mahafali hayo.
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin W. Mkapa akifunga mahafali ya 5 ya Chuo Kikuu cha Dodoma leo katika 1 comment:

Anonymous said...

congratulations binti. usisahau kwamba elimu haina mwisho. kwa hiyo hapo sio kikomo. mungu akujalie kwa yote. uncle wa baba yako, uncle Michu. EA