Monday, June 9, 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA KUMEREMETA MBUNGE JOSHUA NASSARI NA MKEWE ANANDE NNKO

Maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakiweka pozi kwa ajili ya kuchukuliwa Taswira.
Maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakiwa na wapambe wao katika pozi la kuchukua Taswira.
Taswiras katika maeneo mbalimbali ya Ngurdoto Mountain Lodge.
Bwana Harusi Joshua Nassari akiwa amebebwa na wapambe wa Bi Harusi.
Bi Harusi Anande Nnko akiwa amebebwa na Bwana Harusi pamoja na wapambe wake.
Pozi tofauti za Maharusi.
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wazizi wa Bi Harusi Anande Nnko pamoja na ndugu zao.
Maharusi wakiwa na Mzee Ediwn Mtei pamoja na Mama Mtei.
Msanja Mkandamizaji na Oscar Nyerere pia walipata picha ya pamoja na maharusi.
Bwana Harusi Joshua Nassari akiwa katika pozi la picha na wazazi wake.
Bunge la Jamuhuri ya muungano pia liliwakilishwa vyema.Naibu Spika Job Ndugai akipata taswira na maharusi.
Mbunge wa viti maalum Lucy Owenya pia alihakikisha na yeye anakuwa kwenye kumbukumbu za Picha ,Baada ya picha safari ilikuwa ni ya kuelekea Ukumbini yote utayaona hapa hapa. Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

No comments: