|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (mwenye
suti)akiwaongoza madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi
kutembelea vyanzo vya maji vinavyosimamiwa na mamlaka
hiyo. |
|
Madiwani Manispaa ya Moshi wakielekea kwenye
vyanzo vya maji. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian
Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea
chanzo cha Maji cha Cofee Curing. |
|
Chanzo cha Maji cha Cofee
Curing. |
|
Diwani wa kata ya Miembeni katika Manispaa
ya Moshi,Bw Mbonea Mshana akiuliza jambo wakati walipotembelea chanzo
cha Maji cha Cofee Curing. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemejaakitoa
maelezo kwa Madiwani walipotembelea Tanki la maji la Kilimanjaro
kujionea uchumbaji wa kisima kipya cha maji kitakachosaidia kuongeza
kiasi cha ujazo katika tanki hilo. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini
Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani
walipotembelea Tanki la maji la CCP kujionea uchumbaji wa kisima
kipya cha maji kitakachosaidia kuongeza kiasi cha ujazo katika tanki
hilo. |
|
Meneja Ufundi wa Mamlaka ya maji safi na
usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi Patrick Kibasa akitoa
maelezo kwa Madiwani walipotembelea matanki ya kuhifadhi maji ya
CCP. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini
Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongoza madiwani wakitoka
kutembelea matanki ya maji ya CCP ambako kumechimbwa pia kisima kipya
kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maji. |
|
|
Chanzo kipya cha maji kilichopo kando ya Mto
Karanga,chanzo hiki chenye Chemichemi kimeibuliwa hivi karibuni na
MUWSA ili kujiongezea upatikanaji wa maji ya kutosha kwa wakazi
wa Mji wa Moshi. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini
Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani
walipotembelea chanzo kipya cha Maji kilichopo kando ya Mto
Karanga. |
|
Mafundi wa MUWSA wakiendelea na
shughuli ya uunganishaji wa bomba kwa ajili ya kupitishia maji
katika Chanzo kipya cha maji kilichopo kando ya Mto
Karanga. |
|
Chanzo cha Maji cha Shiri. |
|
Madiwani wakitizama Chanzo cha Maji cha
Shiri ambacho kwa sasa maji yake yameongezeka ujazo. |
|
Chanzo cha maj cha Shiri. |
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini
Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani
walipotembelea Chanzo cha Maji cha Kisima cha Kaloleni . |
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji
safi na Usafi wa Mazingira mjini
Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongoza Madiwani
kutembelea Mabwawa ya kuhifadhia Maji taka eneo la Mabogini .
|
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini
Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani
walipotembelea Mabwawa ya Maji taka yaliyopo eneo la Mabogini. |
|
Madiwani wakitizama sehemu ya mwisho ya
mzunguko wa Maji taka ambayo hutoka kwenda kutumiwa na wakulima wa
Mpunga na ufugaji wa Samaki aina ya Kambare. |
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
No comments:
Post a Comment