Monday, March 10, 2014

sereki na zainab wameremeta

 Bi Harusi na wapambe wake
 Sereki na mai waifu wake
 Sereki na wapambe wa kike
 Sereki na wapambe wa kiume
 Meza kuu ukumbi wa mnuso
 Keki
 Ben Pol alitumbuiza
 Sereki akishukuru kila mdau aliyefanikisha siku yake adhimu
 Mmmmmmmmwwwwwwwwwaaaaaaaaaaaaa.......
 Ngoma mpaka lyamba
Tunameremeta....

1 comment:

Anonymous said...

Mumependedha saaan jamani Mungu awatangulie ktk maisha yenu mapya ya Ndoa.