Monday, December 23, 2013

SHAMRASHAMRA ZA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI: SEKONDARI CHASASA NA UTAANI A ZAZINDULIWA PEMBA LEO.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba jana,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Chasasa Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Bi Hadia Masoud Sultan,alipotembelea chumba cha maabara somo la Kemistry,baada ya kuifungua Skuli hiyo leo,iliyo Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Bi Hadia Masoud Sultan,alipotembelea chumba
cha maktaba ya skuli hiyo,baada ya kuifungua rasmi  leo, katika Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(katikati) Mke wa Rais Mama Mwanamwema
Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Chasasa Bi Hadia Masoud Sultan,alipotembelea chumba cha Kompyuta skulini  hapo,baada ya kuifungua rasmi  leo, katika Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein
Mama Mwanamema Shein akikagua skuli ya Chasasa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatua kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwalimu wa somo la Kemistry Khamis Omar Mohamed,Baada ya kuifungua Skuli  ya Sekondari ya Utaani A,alipotembelea chumba cha maabara ya Kemistry leo,   Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(wa tatu kulia) Mke wa Rais Mama Mwanamwema Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakifuatana na Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Utaani B,ya wanawake Mkoa wa Kaskazini Pemba,
Mwanakombo Nassor Ahmed,(kushoto) wakati alipotembelea Skuli hiyo,baada ya kuifungua Rasmi leo, katika Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(katikati) alipokuwa kaitoa maelekezo kwa Mwalimu wa Somo la Phyisics Abrahmani Mussa,alipotembelea darasa hilo baada ya kufungua Skuli hiyo ya Sekondari ya Wanawake Utaani A,katika  Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Mwalimu Mkuu Mwanakombo Nassor Ahmed
Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya Utaani B,Maulid Abdi Aweis,akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia) walipotembelea Makataba ya Skuli hiyo leo, baada ya kuifungua Skuli ya Sekondari ya Wanawake Utaani A,katika  Shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya Wanafunzi wa wakiwa katika Maktaba ya Skuli ya Sekondari Utaani B,ambapo hufika kujipatia huduma kuangalia vitabu mbali mbali,
Wanafunzi wa Skuli ya UtaaniA,Wanawake   wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli yao ya Sekondari,Mkoa wa Kaskazini Pemba,iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Wanafunzi wa Skuli ya Utaani B,Wanaume   wakiwa katika sherehe za ufunguzi wa Skuli yao ya Sekondari Utaani A,na Chasasa,Mkoa wa Kaskazini Pemba,zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Baadhi ya walimu na Viongozi katika Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,wakiwa  katika sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Utaani A,na Chasasa,zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Baadhi ya walimu na Viongozi walioalikwa    katika sherehe za ufunguzi wa Skuli   ya Sekondari Utaani A,na Chasasa, Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Wasomaji wa utenzi Asha Ali Omar,na Asha Ali Mbarouk,wakitoa burudani yao wakati wa sherehe za ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Utaani A,na Chasasa, Wilaya ya Wete,Mkoa wa Kaskazini Pemba,zilizofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra
za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar


Risala ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari Chasasa Utaani A,Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba ,ikisomwa na Mwalimu Mkuu Msaidizi Zaina Omar Othman,leo baada kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,akiwasalimiana wanafunzi na walimu wa Skuli za Sekondari za Chasasa na Utaani A,baada ya kufunguliwa leo, na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa hutuba yake kwa Walimu,Wananchi,na Wanafunzi wa Skuli za Sekondari za Chasasa na Utaani A, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba,katika shamra shamra za miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Picha zote na Ramadhan Othman,Ikulu

No comments: