Friday, November 22, 2013

JK AONGEA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI POLAND

 Mdau akiangalia kitambulisho cha Taifa cha mmoja wa maofisa alioongozana nao Rais Kikwete wakati alipokutana na Watanzania waishio Poland katika hoteli ya Bristol jijini Warsaw usiku wa kuamkia leo. Wengi wa wadau hawa walikuwa hawana habari kwamba vitambulisho vya Taifa vimeshaanza kugawiwa kwa wananchi
 Aliyewahi kuwa balozi wa Poland nchini Tanzania akijitambulisha
 Mwalimu Anna Paciorek akiuliza swali
 Padri akieleza jambo
 Mmoja wa wadau akiuliza swali
 Rais Kikwete akiongea na Watanzania hao
 Hotuba na ufafanuzi wa mambo mbalimbali vinaendelea
 Kila mmoja akimsikiliza Rais Kikwete kwa makini
 Hotuba ikiendelea
 Hapa ni kuhusu umuhimu wa ughaibuni kujenga nyumbani...
 Mwalimu Anna PAciorek akisoma risala ya Watanzania wa Poland
 Kaimu Balozi Mhe Christopher Mvula akifunua pazia la kikao hicho
 Rais Kikwete akipokea risala toka kwa Mwalimu Anna Pacoirek
 Wadau wakijitambulisha
Mama Salma Kikwete akiongea na familia ya Mdau Wambura

3 comments:

Anonymous said...

Kumbe Kuna wabongo wanaoishi Poland naona hakuna tofauti yeyote Kati ya Tanzania na Poland hongereni wadau

Anonymous said...

Mdau anonymous hapo juu, ulishawahi kufika Poland? Nimeishi hiyo nchi kwa zaidi ya miaka 10. Kwa taarifa yako, hakuna nchi Afrika inayoweza kuifikia Poland kwa maendeleo.

Anonymous said...

Wewe kwani Poland kuna mgao WA umeme kama bongo? Acha huzo huwezi linganisha bongo na Poland