Friday, November 22, 2013

WADAU YONA ROBERT KIBELA NA VAILETH GODFREY WAMEREMETA

 Mdau Yona Robert Kibela akiweka saini katika kitabu cha hati ya ndoa baada ya kumeremeta na Mai waifu wake Vaileth Godfrey katika Kanisa la Maxmillian Kolbe la Mwenge jijini Dar es salaam na baadaye wakaelekea kwenye mnuso wa nguvu kwenye ukumbi wa Skyline Motel Mbezi Makonde
 Bi harusi akiweka saini katika kitabu cha hati ya ndoa
 Maharusi na wapambe wao baada ya kumeremeta
 Wamependeza....
 Wapambe wanaume na maharusi
 Wapambe wanawake na maharusi
 Bi harusi na wapambe wake
 Yona na Vaileth wakipozi
 Si mnaonaaaaa....
 Furaha ya Kumeremeta
Maharusi wakijiandaa kwenda mnusoni

No comments: