Friday, November 22, 2013

Kiota kipya chafunguliwa jijini Dar

Kiota Kipya cha SHADE Lounge and Grill ambachi ni cha kisasa na muonekano wa kivingine kabisha ukilinganisha na Viota vingi,Kiota hiki kipo Masaki,Barabara ya Kahama jijini Dar es Salaam.Pichani ni sehemu moja wapo ya Kiota hicho ambayo unakutana nayo pindi uingiapo tu. 
Mmiliki wa Kiota hicho,Dada Devolta (kati) akiwa na wadau waliotembelea kiota hicho wakati wa Ufunguzi wake.Kushoto ni Mbunifu wa Mitindo,Ally Remtullah
Taswira Mwanana kabisa ndani ya Kiota hicho.
Kunapendeza sana kwa kweli.
Vilaji vyote vipo.
Dada Devolta na Marafiki zake waliofika Kiotani kwake.
Marafiki mbali mbali walikuwepo siku hiyo.
Marafiki.
Ni raha tupu kwa kweli.
Vilaji Mwanana.
Wadau.
Tabasamu la nguvu.
Dada Devolta na Hazbendi wake.



1 comment:

Anonymous said...

congrats that place is beautiful, cant wait to be there.