Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakati alipoziandua kinu chao cha kukoboa kahawa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11,2013. Kushoto ni Mbunge wa ludewa, Deo Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawenge wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakikagua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia kwake ni Mbunge wa ludewa Deo Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kulia) wakitazama kahawa inayokaushwa baadaya kukobolewa wakati Waziri Mkuu alipozindua kinu cha kukoboa kahawa katika kijiji cha Mawengi wilayani Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 213. Kushoto ni Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na walimu wa shule ya sekondari ya Chief Kidulile wilayani Ludewa kabla ya kuweka jiwe la msingi la Jengo la maabara akiwa katika ziara ya mkoa wa Nombe Julai 11, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Chef Kidulile wialyani Ludewa baada ya kuweka jiwe la msingi la maabara akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013. Kulia ni Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wakwekezaji kutoka china na washirika wao wa hapa nchini ambao wamewekeza katika mradi wa chuma wa Liganga, baada ya kuwasili mjini Ludewa akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
Mke wa Waziri Mkuu mama Tunu Pinda (watatu kushoto) akislebuka pamoja na wanwake wa Ludewa katika mkutano wa hadahara uliohutubiwa na Wairi Mkuu, MizengoPinda akiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe Julai 11, 2013.
Wasnii ya Ludewa wakitumbuiza wakati Waziri Mkuu, Wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa michezo wa Ludewa Julai 11,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment