matokeo haya ya kidato cha nne ni aibu kwa taifa na haipendezi kwa viongozi husika kuendelea kukaa madarakani bila kulichukulia hatua haya ni matoke ya kuchanganya siasa na elimu,viongozi husika wawajibishwe na maslahi ya walimu pamoja na vitendea kazi viangaliwe upya.
1 comment:

Post a Comment