Meneja wa tawi la CRDB Njombe, Alison Andrew akiongea na watoto wa
kituo cha Tumaini
Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba akiongea na watoto wa kituo cha
Tumaini
Mkuu wa kituo cha Tumaini, Sister Coletha Ponela (kushoto) akifuatana na
mkuu wa wilaya ya Njombe, Sarah Dumba pamoja na maofisa wa benki ya CRDB
wakielekea ukumbi wa kituo cha Tumaini.
Watoto wa kituo cha Tumaini wakiimba mbele ya mkuu wa wilaya na wageni
kutoka benki ya CRDB
Mkuu wa wilaya ya Njombe Mhe Sara Dumba akikabidhi zawadi
Maafisa wa Benki ya CRDB wakishusha zawadi walizotoa kwa watoto wa kituo
cha Tumaini
Wafanyakazi wa benki ya CRDB, mkuu wa wilaya, watoto na walezi katika
picha ya pamoja
Wafanyakazi wa benki ya CRDB, mkuu wa wilaya, watoto na walezi katika
picha ya pamoja
Wafanyakazi wa benki ya CRDB, mkuu wa wilaya, watoto na walezi katika
picha ya pamoja
Watoto wakionesha ustadi wao katika sarakasi
Wafanyakazi wa benki ya CRDB katika picha ya pamoja na mlezi wa kituo
pamoja na mkuu wa wilaya.
Baadhi ya wateja wa CRDB Njombe wakiwa katika tafrija na wafanyakazi wa
Benki ya CRDB Njombe
Mlezi wa kituo sister Coletha akipokea akipokea zawadi ya Tshirt kutoka
Benki ya CRDB
Wafanyakazi wa benki ya CRDB Njombe wakionyesha ujuzi mwingine wa
kusakata rhumba.
Njombe Jazz Band walikuwepo
kuburudisha wageni waalikwa
Wafanyakazi na wageni waalikwa wakiburudika kwa muziki
Afisa Mikopo wa Benki ya CRDB Njombe akitoa somo la mikopo
Wafanyakazi na wageni waalikwa wakiburudika kwa muziki
Mmoja wa wateja wa Benki ya CRDB Njombe Edward Mwalongo, akitoa
ushuhuda wake namna gani amenufaika kibiashara kupitia benki ya CRDB.
No comments:
Post a Comment