Friday, October 12, 2012

Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF wamalizika leo jijini Arusha

  Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magesa Mulongo akitoa hotuba yake ya kufunga Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau PPF uliokuwa ukianyika kwa siku ya tatu kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo.

Mjumbe wa Bodi ya Wadhani wa PPF,Dk. Aggrey Mlimuka (akikaimu nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi) akiongoza Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau PPF uliokuwa ukiendelea kufanyika leo ikiwa ni siku ya tatu na ya mwisho kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio akizungumza leo kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,uliokuwa ukifanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA),Bw. Siraju Juma Kaboyonga akifafanua jambo wakati akichangia mada katika Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,uliokuwa ukifanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dk. Ramadhan Dau ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Kikao kilichotoa Mada ya Ufahamu wa Ugonjwa wa Kansa iliyotolewa kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,uliokuwa ukifanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mtoa Mada inayohusu Changamoto na Majukumu ya usalama wa jamii kwa Wanyarwanda,Emmanuel Kaitare akiwasilisha mada yake hiyo kwa Wanachana na Wadau PPF waliopo kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau PPF,uliokuwa ukifanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo.
Mchangiaji Mkuu wa Mada hiyo iliyokuwa ikihusu Changamoto na Majukumu ya usalama wa jamii kwa Wanyarwanda,Margaret Osure akifafanua maswala mbali mbali yahusuyo mada hilo iliyowasilishwa na Emmanuel Kaitare katika Mkutano wa Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau PPF,unaendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo.
Mtoa Mada iliyokuwa ikihusu Ufahamu wa Ugonjwa wa Kansa,Dk. Dominista Aaron akiwasilisha mada yake hiyo kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau PPF,unaendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,jijini Arusha leo.
Meza Kuu.
Wajumbe wa Bodi.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhani wa PPF,Dk. Aggrey Mlimuka (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio wakifuatilia kwa makini mada mbali mbali zilizowasilishwa kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dk. Ramadhan Dau (kushoto),Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (SSRA),Bw. Siraju Juma (aliyeketi) na Mkurugenzi wa zamani wa PPF,Bw. Naftali Nsemwa wakijadiliana jambo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Crescentius Magori (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Eunice Chiume wakiwa kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifandi ya Jamii (NSSF),Dk. Ramadhan Dau (kulia) akifurahia jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Zamani wa PPF,David Mataka wakati wa Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Mwenyekiti wa Kikao kilichokuwa na Mada ya Ufahamu wa Ugonjwa wa Kansa iliyotolewa kwenye Mkutano wa 22 wa Mwaka wa Wanachana na Wadau wa PPF,Dk. Ramadhan Dau (pili kulia) na ujumbe wake wote wakisikiliza kwa makini swali lililokuwa likitolewa na mmoja wa wadau wa PPF kwenye Mkutano huo unaoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,Jijini Arusha leo.
Wadau na Wanachama wa Mkutano wa 22 wa Mwaka wa PPF wakifuatilia kwa makini mada mbali mbali zitolewazo kwenye Mkutano huo.
Wadau wakiuliza Maswali.
Wadau wakijadiliana jambo.
 Mdau kutoka Benki ya Posta,Dada Neema Simon (kulia akiwa na Rafiki yake.
Wadau Mkutanoni.
Wadada warembo wa PPF wakiwa kwenye Picha ya Pamoja.

No comments: