Thursday, July 26, 2012

Misa na mazishi ya marehemu Franco Peter Kabigi leo

 Waombolezaji wakiwa katika misa ya Marehemu Franco Peter Kabigi katika kanisa la Muhimbili jijini Dar es salaam leo jioni, kabla ya kuelekea makaburi ya Kinondoni kwa mazishi

  Dada marehemu, Agnes Kabigi, akitoa sadaka wakati wa misa ya Marehemu Franco Peter Kabigi katika kanisa la Muhimbili

Mjane wa marehhemu (kati) na ndugu wa karibu katika misa ya Marehemu Franco Peter Kabigi katika kanisa la Muhimbili
 Waomboleaji wakitoa heshima zao za mwisho
 Heshima za mwisho
 Mchungaji akiombea mwili wa marehemu baada ya misa 

 Mchungaji na shangazi wakimfariji binti wa marhemu, Joyce Kabigi
 Jeneza likiwasili makaburi ya Kinondoni
 Baadhi ya marafiki wa karibu wa marehemu
 Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa akiongoza kutelemsha mwili wa marehemu kaburini
 Jeneza likiandaliwa kutelemshwa kaburini
 Nyumba ya milele ya marehemu Franco Peter Kabigi
 Mchungaji akimwaga udongo kaburini
 Dkt. Slaa akimwaga udongo kaburini
 Mjane wa marehemu akiweka udongo kaburini
 Mdogo wa marehemu akisoma wasifu wa marehemu
 Dkt Slaa akitoa salaam za rambirambi za wanachama wa CHADEMA
 Baadhi ya marafiki wa marehemu
 Jeneza likisindikizwa na ndugu jamaa na marafiki kutoka chumba cha maiti kuelekea kanisani Muhimbili
 Waombolezaji wakisubiri mwili ufike kwa maziko
 Sehemu ya marafiiki wa Franco
 Marafiki wa karibu wa Franco wakipeana pole
 Mjane wa marehemu na binti wakiweka shada la maua
 Mwakilishi wa marafiki, Bw. Octa,  akiweka shada la maua kwa niaba ya wote
 Dkt Slaa na Bi Josephine wakiweka shada la maua kaburini
 Dada wa marehemu wakiweka maua kaburini
 Mwanzo wa safari ya mwisho wa Franco
 Kinamama wakilia kwa uchungu
 Waombolezaji kanisani
 Mzee Rugumyamheto akifariji Joyce, binti wa marehemu
 Ankal akimfariji dada mkubwa wa marehemu
 Ritchie Dillon, mratibu wa mazishi ya Franco toka Tazara Club
  

 wadau mazishini
 Marafiki wa Franco
 Marafiki wa Franco
 Makomredi wa Franco 
 Baadhi ya waombolezaji
 Matafiki na wafanyakazi wenzake marehemu
 Marafiki wa marehemu
 Wadau mazishini

No comments: