Tuesday, July 24, 2012

Mdau Aggrey Urio aangusha BBQ Party Reading

Siku ya Jumamosi tarehe 21.7.12 mdau Aggrey Urio alifanya sherehe ya kuchoma nyama hapa mjini Reading kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ikienda sambamba na kuwatambulisha wadau mke wake Eunice aliekuja naye rasmi kutoka Tanzania.

Aidha Aggrey alichukua fursa hii kuwashukuru wadau wote waliomwezesha kufanikisha kufunga ndoa yake nyumbani Tanzania hivi karibuni. Mojawapo wa wageni waalikwa alikua Mwenyekiti wa TANZ- UK Dr John Lusingu.
Asanteni,
Urban Pulse Creative
 Mr & Mrs Aggrey Urio
 Francia na Sheilamina wakila pozi
 Mdau aketa mkaa kuendeleza makamuzi ya kuchoma nyama
 Nyama zilichomwa zikachomeka
 Dj Ritchie akiwa akiendeleza libeneke kama kawa
 Mr & Mrs Aggrey Urio wakila pozi na wadau
 M/kiti wa Tanz- UK DR Lusingu akifurahia jambo akiwepo Masija na Sheilamina,
 Mda wa msosi umewadia mama NasibuMuda wa msosi umewadia very busy
 Mr & Mrs Aggrey Urio wakila mapozi na wadau
 Wadau kutoka Ukerewe aka Mji wa Kusoma wakijiachia
 Mr & Mrs Urio wakila pozi.
Aggrey akikagua kama nyama  tayari zimekwiva...


1 comment:

Anonymous said...

Ankal, tunahitaji picha za matukio muhimu, na sio za party za wauza sura na wabeba maboksi.