Monday, June 11, 2012

Buriani Bob Makani

 WATANI WA JADI: Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa alipowasili kuaga mwili wa Marehemu Bob Makani leo katika uwanja wa ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam. Kati ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe
 Mawaziri Wakuu wastaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim wakiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh Zitto Kabwe msibani
 Mh. George Masaju, Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, akikaribishwa na Mh Mabere Marando
 Bendera ya CHADEMA ikipaishwa nusu mlingoti
 Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa meza kuu na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali, Mawaziri wakuu wastaafu Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh Mecky Sadik na viongozi wa CHADEMA
 Meza kuu
 Sehemu ya waombolezaji
 Watoto na ndugu wa karibu wa Marehemu Bob Makani
 Familia ya marehemu
 Rais wa Tanganyika Law Society akifariji familia ya marehemu baada ya kusoma risala yake
 Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba akihani
 Sehemu ya wanafamilia wa Marehemu Bob Makani
 Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiongea
  Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiongea
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akiwa meza kuu baada ya kuwasili kutoka visiwani 
 Sehemu ya waombolezaji
 Wanahabari
 MC wa shughuli Dkt Mfungo akiwa kazini
 Viongozi wakitoa heshima zao
 Heshima za mwisho
 Heshima kwa Bob Makani
 Mama Sumaye akiwa miongoni mwa waombolezaji
 Juu na chini Rais Kikwete akisindikizwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe

 Jaji Mkuu Mstaafu Mh Barnabas Samatta akiwasili
 Katibu Mkuu wa CCM Mh Wilson Mkama akitoa pole zake kwa Mh Mbowe
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa
 Jaji Joseph Sinde Warioba na Dkt Salim Ahmed Salim wakiwasili msibani
Poleni jamani...

3 comments:

Anonymous said...

Thank you Michuzi for sharing my brother's pride with the world. The most I always miss is your humorous jokes when I was growing up. You came to the kitchen to play with us in when we lived in Mwadui those times. I vividly remember one particular day playing seek and hide on the corridor with you and I hid behind my dad on the couch. You gave up looking after trying so hard. You gave me your white handkerchief from your breast pocket of your jacket and said "you won!". Maybe mom may not even remember. No one may,but I do. I love you because I grew up with you. The last time we laughed together was January 2012, when I sat with you on the front porch of your house, together with my husband and other uncles. What a memory Kaka!!!! Guess what, the picutures we all took may now be floating in the air with you as they disappeared just like that!!! Couldn't locate the cellphone we took pictures with up until now. But I still have all the memory in my heart! I trully salute your legacy and will always remember that I lost big part of me. Go brother, your uncles, mama, sisters and brothers are waiting on you. I am sure they will have a good laugh once they see you in heaven.
Love you Kaka Nyanga.
Daisy.

Anonymous said...

my condolesence to his family, but i want to know was he a christian or muslim?

Anonymous said...

poleni sana kina Grace mungu amuweke mahali pema,.