Monday, June 11, 2012

Rais Kikwete awaapisha mabalozi Kumi Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete leo amewaapisha mabalozi wapya kumi ambao wataongoza idara na kurugenzi mbalimbali katika Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Pichani Rais akimuapisha Balozi Bertha Semu Somi ikulu Jijini Dar es Salaam leo.
Balozi Celestine Joseph Mushy akila kiapo.
Balozi Dora Mmari Msechu
Balozi Hassan Simba Yahya
Balozi Irene Mkwawa Kasyanju
Balozi Mbelwa Brighton Kairuki
Balozi Naimi Sweetie Hamza Aziz
Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi
Balozi Silima Kombo Haji
Balozi Vincent Joel Thomas Kibwana
Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wapya aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Picha na Freddy Maro

No comments: