Tuesday, May 1, 2012

Mdau Kevin Costa na mai waifu wake Noreen Kiwia

 Maharusi wakiwalisha ndafu wapambe wao katika mnuso wa kumeremeta kwao wikiendi ilopita katika ukumbi wa Selous wa JB Belmont Hotel jijini Dar es salaam.
 Bwana na Bibi Harusi wakijiandaa kukata ndafu
 Bwana Harusi akimlisha my wife wake keki
  Maharusi wakifurahia chakula
 Maharusi wakitoka kupakua chakula
 Bibi Harusi akimlisha ndafu my husband wake
Bwana Harusi Kevin Costa na my wife wake Noreen Kiwia wakiteta jambo 

1 comment:

Anonymous said...

duuuu hata mshenga wake nae mwake bora sipo tz na huvi nipo single mbona balaa