Tuesday, May 1, 2012

Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wafanyakazi wakati akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi,katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Meyday) yaliyofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono wafanyakazi wakati akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi,katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Meyday) yaliyofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo.
Wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwa mgeni rasmi katika Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani huko viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja zilizofanyika leo.
Wafanyakazi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwa mgeni rasmi katika Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani huko viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja zilizofanyika leo.
Wafanyakazi wa Wizara ya Ustawi wa Jamiina Maendeleo ya Vijana,Wanawake na Watoto, Katiba na Sheria wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) akiwa mgeni rasmi katika Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani huko viwanja vya Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja zilizofanyika leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati ) akishikana mikono na viongozi wakati wa Sherehe za kilele cha Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani,na kuimba wimbo wa (Solidariti Foreva) wakinyanyua juu mikono kuonesha mshikamano katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja zilizofanyika sherehe hizo leo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi wakiwa katika ukumbi wa salama Bwawani,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika maadhimisho ya siku ya wanyakazi Duniani huko Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel,Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Fedha tasilim Kidawa Juma said Shilingi za Kitanzania Laki Mbili na Hamsini Elfu (250,000/=) Mfanyakazi Bora wa Halmashauri ya Wilaya ya Magharibi kupitia Chama cha wafanykazi (ZALGWU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Hotel Bwawani.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Fedha tasilim Khamis haji Mikidadi wa Ofisi ya Rais Ikulu, Shilingi za Kitanzania Laki Tano,(500,000/=) kupitia Chama cha wafanykazi (ZUPHE) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Fedha tasilim Margreth Peter Mathew wa Nelia Hotel & Resort Zanzibafr, Shilingi za Kitanzania Laki Saba,700,000/=) kupitia Chama cha wafanykazi (CHODAU) akiwa katika miongoni mwa wafanyakazi bora kwa mwaka 2012,wakati wa sherehe za siku ya wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanayakazi wa Sekta mbali mbali za Serikali na Sekta Binafsi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEY DAY)zilizofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja,(kushoto) Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Zanzibar,Zahrani Mohamed
Nassor,(kulia) Katibu Mkuu Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika Haroun Ali Suleiman.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments: