Monday, April 30, 2012

Diamond atua Mbagala kwa chopa

 Diamond akikupa saluti kabla ya kupasua anga
 Huko chini mashabiki wanakanyagana kumsubiri Diamond
 mashabiki
 Diamond ni nouma
 Anaingia Dar Live
 Akielekea kwenye chopa
 Rubani akimpa maelekezo Diamond
 Dua kabla ya kupasua anga...
 Nyomi ya Dar Live ikimsubiri supa star wao Diamond

 Sio kampeni ni Diamond akitua Mbagala
 Akiaga rubani wa chopa iliyomleta
 Mbagala hapatoshi
 Diamond akielekea ukumbini baada ya kutua na chopa
 Salamu kwa mashabiki
 Pamoja na mvua na mafuriko mashabiki wamo tu

Mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpeni. Diamond hakamatiki....
Ni nani kama Diamond?
Diamond akipagawisha
Hakuna cha kujali mvua wala nini
Diamond full mzuka. Picha zote na Global Publishers

6 comments:

Anonymous said...

Safi sana kijana!!
Jambo moja zingatia, ukivaa kijeshi tafuta askari mmoja akupe shule ili utoke kijeshi kiukweli. Hiyo saluti vidole lazima vikae pamoja siyo kusambaa hewani. Hata Obama si askari lakini huipatia. Vinginevyo hongera sana!!

Anonymous said...

Diamond sikunyengine ambatana na boadyguard itapendeza zaidi kwani hayo manyota uliyotinganayo begani sio ya kawaida.

Hongera kwa nyota yako ing'arayo ila chunga na mitotos wataizima hafla na utuache na majonzi.

Anonymous said...

Huyu kijana bado mkulima anataka muda aelimike mambo ya kihindi yamepitwa na wakati!!!!!

Anonymous said...

Unastahili, umekuwa tofauti na unajiamini. Big Up.

Anonymous said...

Nobody can reach or touch you now DIMOND in this Jakaya land (Jakaland)...
You are untouchable now TZ Superstar..KEEP IT UP FVEN P.SQUARE STARTED AS YOU ARE NOW...

Anonymous said...

Hivi huyu ana japo KIBANDA? maana ndio wasanii wetu wa BOngo akifilisika kisanii basi kila kitu kimeisha ! mpeni mawaidha dogo huyo ajiendeleze kwa kununua viwanja na nyumba zitamsaidia baadae! maana hiyo chopa alopanda alilipia yeye? ujiiiinga !