Tuesday, April 10, 2012

Safari ya Mwisho ya Marehemu Steven Charles Kanumba kwenye Makaburi ya Kinondoni Jijini Dar mchana huu

 Kamanda Kova akiweka mambo sawa mara baada ya watu kuzidi kusogea sehemu ya kaburi,na kufanya shughuli ya mazishi kusimama kwa muda.. 
 Waziri Nchimbi akijadiliana jambo na baadhi ya wanakati ya mazishi ya marehemu Kanumba mchana huu.
 Mh. Naibu Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo pia yupo makaburini hapa kuhakikisha shughuli inakwenda sawa.
 Waombolezaji.
 ulinzi upo na ulikuwa ukijitahidi kwa kila hali kuwadhibiti watu wasisogee sehemu lilipo kaburi la Kanumba.
 kwakeli watu ni wengi sana makaburini hapa na kuna wengine ambao wanaanguka kwa kukosa hewa,ila vijana wa red cross wako makini katika hilo.
 Wanahabari nao wanapata picha kwa shida  sana maana watu ni wengi kupita kiasi makaburini hapa.
 Waombolezaji wengine wakiwasili makaburini hapo.
 Mama wa Marehemi Steven Kanumba akiwasili Makaburini hapa akiwa ameambatana na Dada Asha Baraka.
 Muda mfupi uliopita kuna watu ambao walikuwa juu ya mti namna hii na tawi la mti limekatika na kuna baadhi ya watu wameumia na kukimbizwa hospitali.na Kamanda Kova ametoa amri kwa watu wote walio juu ya Miti washuke mara moja maana wanaweza kupata madhara makubwa zaidi. 

21 comments:

Anonymous said...

Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi Amina, tutakukumbuka milele daima kwa kweli inauma lakin ndiyo imeshatokea inatubidi tukubali

Anonymous said...

R.I.P Kanumba

Anonymous said...

He was loved.........RIP Kanumba

Anonymous said...

duh si mchezo sijawahi kuona kitu kama ichi

c's mum! said...

for sure he deserves a name 'GREAT'. I have never in my entire life to see so many people like this in any funeral! oopppss u were luvd by us! R.I.P KANUMBA THE GREAT, U WERE THEONLY ONE, AND NO ONE WILL BE LIKE YOU EVER! WE WILL MISS YOU!

Annemarie Handford said...

R.I.P.God bless. My Sympathy goes out to his mother and the rest of his family. God bless you all.

Peacebeliever said...

Surely U were a Star "Steven Kanumba!". As always being said, "Stars Belong to the Sky", Truly U R a Star Belonging to the Sky Now! May Your Soul Rest in Internal Peace, Amen.

khadijagogo said...

Akhsante kwa kutuletea picha za matukio kutoka kwenye msiba wa Kanumba..Kilichobaki ni kumuombea kwa Mungu mpendwa wetu asamehewe madhambi yake na akae mahali pema peponi.ameen

khadijagogo said...

Akhsante kwa kutuletea picha za matukio kutoka kwenye msiba wa Kanumba..Kilichobaki ni kumuombea kwa Mungu mpendwa wetu asamehewe madhambi yake na akae mahali pema peponi.ameen

Anonymous said...

very saaaad

Anonymous said...

rest in peace Kanumba...

Anonymous said...

Kwakweli aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi nazo zimejaa tabu na huzuni,Rest in peace Steven Kanumba, Mungu ndie ajuae mwanzo na mwisho wa maisha yetu.

Anonymous said...

Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie, apumzike kwa amani amina, raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani aminaa, raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaaangazie wapumzike kwa amani aminaa
Bwana alitoa nabwana ametwaa jina lake lihidimiwe milele na milele amina....

Mtoto wa Mkulima

Anonymous said...

dah...hata sijui niseme nini maana kila nikiangalia picha au kusikia jina la Kanumba machozi yananitoka......R.I.P Kanumba

Anonymous said...

Rest in Peace Kanumba the GREAT... Jamani Steve Nyerere kweli wewe ni commedian maan unachekesha

Anonymous said...

BAADA YA NYERERE HII INAFUATA KWA KUJAZA WATU.WATU HAWAJUI HATA KAMA MKUU WA MAJESHI WA ZAMANI AMEFARIKI..ALL THE STREETS IS KANUMBA,KANUMBA...NIMEAMINI HE WAS'THE GREAT'..R.I.P UNCLE JJ.

Anonymous said...

Atabaki kuwa star daima na milele, Mungu huwachukua wale watu wapendwao zaidi duniani, R.I.P Steven Kanumba. Tutakukumbuka daima milele. Its pain for sure.

Anonymous said...

R.I.P STEVEN KANUMBA...TULIKUPENDA LAKINI MUNGU KAKUPENDA ZAIDI,KAZI YA MIKONO YA MUNGU I TIMILIFU SIKU ZOTE...MUNGU AILAZE ROHO YA KANUMBA MAHALA PEMA...AMINA.TUNAAMINI UMEPUMZIKA KWA AMANI KANUMBA..NAWAOMBA WATANZANIA WENZANGU TUACHE KUMZUNGUMIZIA MAREHEMU KWA MANENO YASIYOKUWA NA MSINGI NA BADALA YAKE KUCHUKUA MUDA HUO KUIOMBEA ROHO YAKE IPATE KUMPUMZIKA KWA AMANI NA KUIPA FARAJA FAMILIA YAKE.KWA KUWA MANENO HAYO HAYANA NAFASI SASA...NA WA KUYAJIBU HAYUPO.

Anonymous said...

he was just a loved man, R.I.P Kanumba, but God is The Great

Anonymous said...

I, WE LOVED YOU! BUT GOD LOVED YOU MORE ...MAY YOUR SOUL REST IN PEACE.LOVE U...

Neema said...

hakika ulikuwa mtu wa watu, tutakupenda daima na tunaomba Mwenyezi MUNGU akupumzishe kwa amani. Ameen.