Tuesday, April 10, 2012

Makamu wa Rais aongoza waombolezaji kwenye kuaga mwili wa Marehemu Steven Kanumba

 Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwasili kwenye viwanja vya Leaders Club asubuhi hii.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwasili viwanjani hapa.
 Viongozi mbali mbali wapo kwenye shughuli hii ya kumuaga marehemu Steveen Kanumba.
 Mdogo wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapo.
 Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapa.
 msafara wa Makamu wa Rais.
 Mdau Athuman Khamis pia amehudhulia shughuli hii.
 Dada wa Marehemu Kanumba akisaidiwa kubebwa mara baada ya kuishiwa nguvu wakati akiwasili viwanjani hapa.
Viongozi wakuu wa Serikali.
 watu wengi wamehudhulia shughuli hii.
 Mwili wa Marehemu ukiwasili uwanjani hapa.
 ukipelekwa sehemu maalum iliyoangaliwa.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Steven Kanumba asubuhi hii kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mh. Bernard Membe akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Steven Kanumba asubuhi hii kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Steven Kanumba asubuhi hii kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.

2 comments:

Anonymous said...

You may think you are nobody, but God can make you somebody.

RIP Kanumba

Anonymous said...

Uncle Michuzi tunaomba utuwekee angalau picha moja ya mwili wa marehemu ukiwa kwenye jeneza, na sisi wa wa ughaibuni tumwone, please!!