Tuesday, April 10, 2012

Makamu wa Rais aongoza waombolezaji kwenye kuaga mwili wa Marehemu Steven Kanumba

 Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwasili kwenye viwanja vya Leaders Club asubuhi hii.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwasili viwanjani hapa.
 Viongozi mbali mbali wapo kwenye shughuli hii ya kumuaga marehemu Steveen Kanumba.
 Mdogo wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapo.
 Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapa.
 msafara wa Makamu wa Rais.
 Mdau Athuman Khamis pia amehudhulia shughuli hii.
 Dada wa Marehemu Kanumba akisaidiwa kubebwa mara baada ya kuishiwa nguvu wakati akiwasili viwanjani hapa.
Viongozi wakuu wa Serikali.
 watu wengi wamehudhulia shughuli hii.
 Mwili wa Marehemu ukiwasili uwanjani hapa.
 ukipelekwa sehemu maalum iliyoangaliwa.

17 comments:

Anonymous said...

SINA LA LUSEMA 2 SAD RIP THE GREAR

Anonymous said...

Dah Uncle Michuzi nashukuru kwa kutuhabarisha yaliyojiri maana wengine tupo maofisini ila laiti kama ungeniona ninvyoangalia picha hizi kwa masikitiko makubwa mpaka nashindwa kufanya kazi leo dah. ila shukrani zetu kwa Mwenyezi Mungu maana ye ndie ametoa na ndie ametwaa leo yeye kesho sisi. STAREHE KWA AMANI KANUMBA.

Anonymous said...

Kaka Michuzi tunashukuru kwa kutujuza sisi ambao hatujafika huko

kwa kweli ni uzuni kwa taifa zima

Anonymous said...

Eeeh Kanumba wewe, sasa ndio kidogo naamini umekufa...
Mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi. Amina

Ngumiji said...

hakika kazi ya Mola haina makosa. Lakini Kanumba was a real Great man.
R.I.P ma bro

Anonymous said...

kaka asante kwa kutupa habari hata sie tuliopo ofisini!!!!!!!! Mungu ailaze roho ya kanumba peponi Amina!

Anonymous said...

Michuzi tunakushukuru sana pamoja na kwamba tuko mbali tunjisikia kuwa na waomblezaji viwaja vya leaders club.Ubarikiwe sana. Mungu aiweke roho ya marhemu Kanumba peponi amina.RIP KANUMBA THE GREAT!

Kanindo Arusha,

aaa said...

Man of the people. RIP The Great, gone too soon, we will miss you

Anonymous said...

Jamani kila nikiangalia picha hizi nalia mwenyewe ofsini. i like to view but mmmh! inaniuma kupita maelezo.rest in peace Kanumba.

Anonymous said...

hajawahi kutokea ama kweli kanumba mtu wa watu

Anonymous said...

RIP steve kanumba.u have gone too soon bro

STEER UP said...

Tunshukuru hizi blog, kimsingi ni kama tupo dar, poleni sana watanzania wenzangu. Pia
Tuonyeshe huu umoja katika kupambana kimaisha ili kumuenzi Kanumba.

Anonymous said...

May ur soul rest in peace our dear brother and be forgiven all sins.we will alwayz love you.

Anonymous said...

We will always miss you. Rest in Peace Great Kanumba.

Seleman Abuya said...

No matter where you are....you will always be in my heart. The distance really never matters .....your love does. I will always miss you and May God the Almighty Rest your Soul in peace!!!!

Anonymous said...

R.I.P KANUMBA THE GREAT!! YOU WILL BE MISSED WITH YOUR LOVED ONES SO MUCH!! I WISH I WAS IN TANZANIA SO I CAN PAY AMY LAST RESPECT TO YOU MY DEAR!! TOO SAD!

Anonymous said...

Kanumba was a great man not only in tanzania but also around the world. I will remember u with ur movie. Kijiji cha tambua haki. RIP GREAT KANUMBA