Tuesday, April 10, 2012

Taswira mahususi za Globu ya Jamii: Buriani mpendwa wetu Steven Charles Kanumba




























































6 comments:

Anonymous said...

Daima tutakukumbuka Steven Kanumba,

Kwa kweli umetuachia pengo kama ulivyotabiri katika mwimbo wako wa "Nitaiunua macho yangu" wengi bado tunalia kila tukiangalia filamu zako, tunamwuomba mwenyezi mungu akufutie madhambi ya Kaburi na akulaze mahali pema peponi. Kweli wewe ulikuwa The great!!!

RIP Kanumba

Mdau

Anonymous said...

asante kaka michuzi kwa kutuhabalisha kwa picha matukio muhimu ya mazishi ya the great kanumba. kusema ukweli kumlilia tu kanumba haitoshi bali tumuenzi kwa mengi aliyokuwa anapenda watanzania wayafanye,tunaweza kuyapata kwa kupitia filamu zake yakiwemo UTAWALA BORA katika kijiji cha tambua haki na mambo mengine mengi. APUMZIKE KWA AMANI KANUMBA

Anonymous said...

RIP Kanumba, Yaani kweli msanii ni kioo cha jamii kha! wasanii jifunzeni kwa hili

Anonymous said...

Kanumba you will always be missed, you died with Christ in the Holly Week; rest in peace dear one.bll

Anonymous said...

mshumaa uliozimika taratiiiibu kabisa, tutakukumbuka daima, R.I.P. S.C.K. Tulikupenda lakini Mola amekupenda zaidi. Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani.Amin

Anonymous said...

kanumba wengine hutujui hatuna majina hatufahamiki lakini tupo dar hii hii,nakupenda sana jamani,kifo chako kimeniumiza sana nalia na kujibembeleza mwenyewe,blog yako kule nani ata update jamani password yako ulishare na nani jamani mtoto umeniumiza sana moyo sina amani taku nimesikia kifo mapaka maziko sijui lini nitarudi kama kawaida,nakumiss sana ungekaa walau kidogo au wengine wasanii hata wengine kumi wewe ungebaki,nina mapenzi mazito lakini yamebadilika na kuwa uchungu,

Mungu jamani mrudishe kanumba duniani,aone watu walivyo wanavyoumia mioyoni,wanaokuchukia wachache sana ila tunakupenda ni wengi sana.kama mungu anasikia maombi yetu wanadamu angedhiirika saizi kwa kumrudisha kanumba,oh! mungu nisamehe maana sijui kuomba ipasavyo,ulale kwa amani jamani,nakupenda sana steven kanumba.