| SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
| Jumapili 25/3/2012 | Wajumbe Kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
| Jumatatu 26/3/2012 | Shughuli za Utawala | Wajumbe |
| Jumanne 27/3/2012 | Kupokea Taarifa kuhusu utendaji wa Tume ya Nguvu za Atomoki Tanzania | Wajumbe/ Wizara ya MST |
| Jumatano 28/3/2011 | Kupokea Taarifa kuhusu Utendaji wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) | Wajumbe/Wizara ya MST |
| Alhamisi 29/3/2012 | Kupokea Taarifa kuhusu Utendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania | Wajumbe /Wizara ya MST |
| Ijumaa 30/3/2010 | Kupokea taarifa kuhusu Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) | Wajumbe /Wizara ya MST |
| Jumamosi 31/3/2012 na Jumapili 1/4/2013 | MAPUMZIKO | Wajumbe |
| Jumatatu 2/4/2012 | Kupokea Taarifa kuhusu Utendaji wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa | Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi |
| Jumanne 3/4/2012 | Kupokea Taarifa ya Utendaji wa Mamlaka ya Bandari Tanzania | Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi |
| Jumatano 4/4/2012 | Kuandaa taarifa ya kazi za Kamati kwa Mwaka 2011/2012 | Wajumbe |
| Alhamisi 5/4/2012 | MAJUMUISHO | Wajumbe |
| Ijumaa 6/4/2012 | IJUMAA KUU | Wajumbe |
| Jumamosi 7/4/2012 na Jumapili 8/4/2012 | Kusafiri kuelekea Dodoma kwa ajili ya Mkutano wa Saba wa Bunge | Katibu wa Bunge |
Kikao: Saa 3:00
Chai: Saa 5:30
No comments:
Post a Comment