SIKU/TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumapili 25 Machi 2012 | Wajumbe kuwasili Dar es Salaam | Katibu wa Bunge |
Jumatatu 26 Machi 2012 | Shughuli za kiutawala | Wajumbe wa PAC na Sekretarieti |
Jumanne 27 Machi 2012 | Fungu 51- Wizara ya Mambo ya Ndani | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumatano 28 Machi 2012 | Fungu 96 - Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Alhamisi 29 Machi 2012 | Fungu 98 - Wizara ya Maendeleo ya Miundombinu | PMG/CAG/DGAM AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Ijumaa 30 Machi 2012 | Fungu 44 - Wizara ya Viwanda na Biashara (Kujadili Taarifa ya Wizara kuhusu ukaguzi wa ubora wa magari unaofanywa nje ya nchi na ukaguzi wa bidhaa zingine) | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumamosi na Jumapili 31 Machi – 01 Aprili 2012 | MAPUMZIKO | Wote |
Jumatatu 02 Aprili 2012 | Mamlaka ya Mapato (TRA) | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumanne 03 Aprili 2012 | Fungu 52 - Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Fungu 32 - Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumatano 04 Aprili 2012 | Fungu 23 - Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Fungu 22 - Deni la Taifa | Afisa Masuuli/CAG/ DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Alhamisi 05 Aprili 2012 | Hesabu za Majumuisho (Hesabu Jumuifu za Taifa) | PMG/AcGen/ CAG/DGAM/ Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Ijumaa 06 Aprili 2012 | Kujadili majibu ya Hazina kuhusu mapendekezo ya Kamati kwa Hesabu zinazoishia Juni 30, 2009. | PMG/CAG/DGAM/ AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti |
Jumamosi 07 Aprili 2012 | Wajumbe kuelekea Dodoma | Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
· Vikao vyote vya asubuhi vitaanza saa 3:00 Asubuhi.
· Mapumziko ya Chai ni Saa 5:00 Asubuhi.
· Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
· Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
· Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni 2010.
No comments:
Post a Comment