SIKU/TAREHE | MUDA | SHUGHULI/MAHALI | MHUSIKA |
Jumatatu 26 Machi, 2012 | 3:00 – 6:00 | Shughuli za Utawala (Ofisi Ndogo ya Bunge, Dar es Salaam) | · Wajumbe · Sekretarieti ya Bunge |
Jumanne 27 Machi, 2012 | 1:30 | Kuondoka Dar es Salaam (Julius Nyerere International Airport) | · Wajumbe · Sekretarieti ya Bunge |
3:00 | Kuwasili Mtwara (Uwanja wa Ndege wa Mtwara) | · Wajumbe · RAS Mtwara | |
5:00 – 6:00 | Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara | · Wajumbe · RC · RAS Mtwara | |
Jumatano 28 Machi, 2012 | 3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 1. Manispaa ya Mtwara 2. Wilaya ya Mtwara (Vijijini) | · Wajumbe · Halmashauri · RAS Mtwara · CPD · TAMISEMI |
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | |
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | |
Alhamis 29 Machi, 2012 | 3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 3. Wilaya ya Masasi 4. Wilaya ya Newala 5. Wilaya ya Tandahimba | · Wajumbe · Halmashauri · RAS Mtwara · CPD · TAMISEMI |
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | |
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | |
Ijumaa 30 Machi, 2012 | 3:00 – 6:00 | Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Mtwara | · Wajumbe · Halmashauri · RAS Mtwara · CPD · TAMISEMI |
Jumamosi 31 Machi, 2012 | 4:00 | Kuondoka Mkoa wa Mtwara kuelekea Mkoa wa Lindi | · Wajumbe · RPC Mtwara · RAS Mtwara |
6:00 | Kuwasili Mkoa wa Lindi | · Wajumbe · RPC Lindi · RAS Lindi | |
Jumapili 01 Aprili, 2012 | NA | MAPUMZIKO | · Wajumbe |
Jumatatu 02 Aprili, 2012 | 2:00 – 3:00 | Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi | · Wajumbe · RC Lindi · RAS Lindi |
3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 1. Wilaya ya Lindi Mjini 2. Wilaya ya Lindi Vijijini 3. Wilaya ya Kilwa | · Wajumbe · Halmashauri · RAS Lindi · CPD · TAMISEMI | |
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | |
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | |
Jumanne 03 Aprili, 2012 | 3:00 – 6:00 | Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri ya:- 4. Wilaya ya Ruangwa 5. Wilaya ya Nachingwea 6. Wilaya ya Liwale | · Wajumbe · Halmashauri · RAS Lindi · CPD · TAMISEMI |
6:00 – 7:00 | MAPUMZIKO | · Wote | |
7:00 – 8:00 | MAJADILIANO | · Wote | |
Jumatano 04 Aprili, 2012 | 3:00 – 6:00 | Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Lindi | · Wajumbe · Halmashauri · RAS Lindi · CPD · TAMISEMI |
7:00 | Kamati kuondoka Mkoa wa Lindi kuelekea Mkoa wa Mtwara | · Wajumbe · RPC Lindi · RAS Lindi | |
9:00 | Kuwasili Mkoa wa Mtwara | · Wajumbe · RPC Mtwara · RAS Mtwara | |
Alhamis 05 Aprili, 2012 | 4:00 | Kuondoka Mkoa wa Mtwara kuelekea Dar es Salaam (Mtwara Airport to Julius Nyerere International Airport) | · Wajumbe · RAS Mtwara · Sekretarieti ya Bunge |
Ijumaa 06 Aprili, 2012 | NA | IJUMAA KUU | · Wajumbe |
Jumamosi 07 Aprili, 2012 | NA | Kuelekea Dodoma kuhudhuria Mkutano wa Saba wa Bunge la Kumi | · Wajumbe |
No comments:
Post a Comment