TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
25/03/2012 Jumapili | · Kuwasili | · Wajumbe |
26/03/2012 Jumatatu | § Shughuli za Utawala § Kupitia ratiba na maelezo kuhusu Maandalizi ya shughuli zilizopangwa kutekelezwa | § Wajumbe § Katibu |
27/03/2012 Jumanne | § Kupokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa SADC - PF na IPU [kwa Mujibu wa Nyongeza ya Nane , Kifungu cha 9 (2)] | § § Wajumbe |
28/03/2012 Jumatano | § Kupokea na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini Kwa kipindi cha Januari-Machi, 2012 | § Wajumbe § Waziri wa Nchi OR –Ikulu |
29/03/2012 Alhamisi | § Kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kwa kipindi cha Januari - Machi, 2012 | § Wajumbe § Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi |
30/03/2012 Ijumaa | § Kutembelea Chuo cha Diplomasia Kurasini § Kutembelea Makao Makuu ya Uhamiaji | § Waziri wa Mambo ya Nje § Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi |
31/03/2012 Jumamosi | M A P U M Z I K O Y A W I K I | § Wajumbe |
01/04/2012 Jumapili | · Kusafiri kwenda Kilimanjaro na Arusha | § Wajumbe |
02/04/2012 Jumatatu | § Kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro § Kutembelea Chuo cha Polisi Moshi na Chuo cha Uhamiaji § Kutembelea Gereza la Karanga § Kusafiri kwenda Arusha | § Mkuu wa Mkoa –Kilimanjaro § Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi |
03/04/2012 Jumanne | § Kusalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha § Kutembelea Mpaka wa Namanga § Kutembelea AICC na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya AICC | § Mkuu wa Mkoa wa Arusha § Waziri/ Mambo ya Ndai § Waziri/ Ulinzi&JKT § Waziri/M. Nje |
04/04/2012 Jumatano | § Kutembelea Chuo cha Maafisa wa Jeshi Monduli § Kusafiri kwenda Dar es salaam | § Wajumbe § Waziri wa Ulinzi |
05/02/2012 Alhamisi | § Kupitia Rasimu ya Taarifa ya Mwaka | . § Wajumbe |
06/04/2012 Ijumaa | IJUMAA KUU | |
7-8/04/2012 Jumamosi- Jumapili | § Safari kuelekea | · Wajumbe · Katibu wa Bunge |
TANBIHI:
1) Vikao vitaanza saa 4.00 asubuhi
2) Saa 5.30 Asubuhi kutakuwa na Mapumziko ya Chai kwa dk 20
No comments:
Post a Comment