TAREHE/SIKU | SHUGHULI | MHUSIKA |
JUMAPILI 25/03/2012 | · Kuwasili Dar es Salaam | · Katibu wa Bunge |
JUMATATU 26/03/2012 | · Utawala na kupitia Ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
JUMANNE 27/03/2012 | · Kamati kupata taarifa kuhusu utendaji kazi wa Benki ya Rasilimali Tanzania (Tanzania Investment Bank (TIB)) : Mafanikio, Changamoto na Mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo · Kupata taarifa kuhusu mchakato wa utoaji wa Mikopo ya Kilimo. | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · TIB |
JUMATANO 28/03/2012 | · Kamati kupitia na kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za ‘Mortage Finance’. Mafanikio na Changamoto zake katika utekelezaji | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · BOT |
ALHAMISI 29/03/2012 | · Kupitia na kujadili Taarifa ya Mwaka ya Kamati ya Fedha na uchumi | · Wajumbe |
IJUMAA 30/03/2012 | · Kupata Taarifa ya hatua iliyofikiwa ya uundaaji wa Mpango Elekezi Wa Maendeleo wa Miaka 15 (2011/12-2025/26). | · Wajumbe · OR-Mahusiano na Uratibu · Tume ya Mipango |
JUMATATU 02/04/2012 | · Kamati kupitia, kujadili na kushauri kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali katika Mwaka wa fedha wa 2012/2013 | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · Tume ya Mipango |
JUMANNE 03/04/2012 | · Kamati kupitia, kujadili na kushauri kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali katika Mwaka wa Fedha wa 2012/2013 | · Wajumbe · Wizara Ya Fedha · Tume ya Mipango |
JUMATANO 04/04/2012 | · Kukutana na Wizara ya Fedha kujadili na kushauri kuhusu wingi wa kodi mbalimbali zinazotozwa katika sekta ya Utalii, Viwanda na Kilimo. · Kamati kupokea majibu ya hoja zilizowasilishwa kwenye kikao cha tarehe 20 Januari 2012 kilichohusu kujadili taarifa ya hali ya uchumi kwa kipindi cha nusu mwaka, kuendelea kukua kwa mfumuko wa bei na mafanikio na utekelezaji wa bajeti ya Serikali kwa kipindi cha nusu Mwaka. | · Wajumbe · Wizara ya Fedha · BOT |
ALHAMISI 05/04/2012 | · Kamati kupitia na kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli Baraza la Biashara la Taifa (Tanzania National Business Council): Mafanikio, changamoto na mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo. | · Wajumbe · Wizara Fedha · TNBC |
IJUMAA 06/04/2012 | IJUMAA KUU | |
JUMAMOSI 07/04/2012 JUMAPILI 08/04/2012 | · Kuelekea Dodoma | · Wajumbe · Katibu wa Bunge |
TANBIH:
· Vikao vitaanza saa 3: 00 Asubuhi
· Chai Saa 4:00 - Asubuhi
No comments:
Post a Comment