UKUMBI: OFISI YA MAKAMU WA RAIS
NA | SIKU/TAREHE | SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA | MHUSIKA |
1. | JUMAPILI 25/03/2012 | Wajumbe kuwasili Dar es salaam | · Katibu wa Bunge · Wajumbe |
2. | JUMATATU 26/03/2012 | · Shughuli za utawala na kupiti ratiba | · Wajumbe · Sekretarieti |
3. | JUMANNE 27/03/2012 | · Kupokea na kujadili taarifa kuhusu migogoro ya Ardhi nchini | · Wajumbe · Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleoya Makazi |
4. | JUMATANO 28/03/2012 | ● Kukutana na Tume ya Taifa ya UNESCO kupata majibu na maelezo kuhusu Warsha ya Mkataba wa urithi wa Dunia wa Mwaka 1972 iliyofanyika 09/02/2012 Dodoma | ● Wajumbe ● Wizara ya Maliasili na Utalii · Tume ya Taifa ya UNESCO |
5. | ALHAMIS 29/03/2012 | · Kupokea taarifa kuhusu hali ya Biashara ya Utalii nchini, Ushiriki wa watanzania katika Biashara ya Utalii katika mazingira ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na hali ya Mapato ya Utalii | · Wajumbe · Wizara ya Maliasili na Utalii · Bodi ya Utalii |
6 | IJUMAA 30/03/2012 | ● Muendelezo wa mada iliyofanyika Bagamoyo tarehe 27/01/2012 kuhusu athari za mabadiliko ya Tabia ya Nchi katika Sekta Mbalimbali Nchini | · Wajumbe · Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira · Institute of Resources Management (IRA) |
7 | JUMAMOSI NA JUMAPILI 31/3-1/4/2012 | ● MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI | · WOTE |
9 | JUMATATU 02/04/2012 |
| · Wajumbe |
10 | JUMANNE 3/04/2012 | · Kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa maoni ya Kamati kuhusu mipango ya Maendeleo ya Shirika la Nyumba · Kutembelea miradi ya Shirika | · Wajumbe · Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi · Shirika la Nyumba |
11 | JUMATANO 4/04/2012 | · Kupokea taarifa ya hatua zilizochukuliwa kuhusu migogoro ya Chuo cha Utalii · Kupata maelezo ya Serikali kuhusu mgogoro wa ardhi kati ya kijiji cha Shela Mpanda- Line na Wizara ya Maliasili na Utalii | · Wajumbe · Waziri ya Maliasili na Utalii |
12 | ALHAMIS 5/04/2012 |
| · Wajumbe · Waziri wa Maliasili na Utalii |
13 | IJUMAA 6/04/2012 | IJUMAA KUU | WOTE |
14 | JUMAMOSI NA JUMAPILI 7/4-8/4/2012 | Kusafiri kuelekea Dodoma | · Wajumbe · Katibu wa Bunge |
TANBIHI/ ANGALIZO:
- Vikao vyote vitaanza saa 3:00 Asubuhi
- Mapumziko ya Chai ni saa 5:00 Asubuhi
- Mabadiliko ya Ratiba hii yanaweza kutokea muda wowote ikiwa Mheshimiwa Spika atalekeza Muswada au Azimio kwenye Kamati.
No comments:
Post a Comment