UKUMBI: DICC
TAREHE | SHUGHULI | MHUSIKA |
Jumapili 25/3/2012 | Kuwasili Dar es Salaam | § Katibu wa Bunge § Wajumbe |
Jumatatu 26/3/2012 | · Shughuli za Utawala · Kupokea Taarifa ya hali ya uzalishaji wa umeme nchini | § Wajumbe § Wizara ya Nishati na Madini § TANESCO |
Jumanne 27/3/2012 | · Kukutana na Tanzania Renewable Energy Association (TAREA) · Kupokea taarifa kuhusu hali ya miundombinu ya uagizaji wa mafuta (Bulk procurement) | § Wajumbe § Wizara ya Nishati na Madini § Wizara ya Miundombinu § Wizara ya Viwanda na Biashara § TAREA, TIPER, TPDC, TPA, EWURA, TBS na PIC |
Jumatano 28/3/2012 | Kupokea Taarifa kuhusu Hali ya Utafutaji wa Madini ya nchini Uranium (italics). | § Wajumbe § Wizara ya Nishati na Madini |
Alhamisi 29/3/2012 | Kukutana na Ndugu Juma Chibaya na Patrick Ngonyani ili kupokea malalamiko yao. | § Wajumbe § Wahusika |
Ijumaa 30/3/2012 | Kupokea Taarifa ya Utendaji wa Shughuli za Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na Kitengo cha Ukaguzi wa madini ya Almasi (TANSORT) | § Wajumbe § Wizara ya Nishati na Madini § TANSORT, STAMICO |
Jumamosi &Jumapili 31/3 -1/4/2012 | MAPUMZIKO | |
Jumatatu &Jumanne 2 -3/4/2012 | Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio juu ya uendeshaji wa Sekta ya gesi pamoja na Taarifa ya CAG na GNT | § Wajumbe § Wizara ya Nishati na Madini § CAG na GNT |
Jumatano &Alhamis 4 -5/4/2012 | Kuandaa Taarifa ya Shughuli za Kamati kwa Kipindi cha 2011/2012 | § Wajumbe |
Ijumaa 5/5/2012 | IJUMAA KUU | § WOTE |
Jumamosi &Jumapili 6 -7/4/2012 | Kuelekea Dodoma | § Wajumbe § Katibu wa Bunge |
TANBIHI
Vikao vyote vitaanza Saa 3:00 Asubuhi
Mapumziko ya chai Saa 5:00 Asubuhi
No comments:
Post a Comment