Tuesday, March 27, 2012

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA RATIBA YA KAZI KUANZIA TAREHE 25 HADI 06 APRILI, 2012

UKUMBI MKUBWA WA KARIMJEE
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA

JUMAPILI
25/03/ 2012
  • Kuwasili Dar es Salaam
  • Wajumbe
  • Katibu wa Bunge

JUMATATU
26/03/ 2012
·         Shughuli za Kiutawala
  • Wajumbe
  • Sekretarieti

JUMANNE
27/03/ 2012
Kupitia na kujadili taarifa ya Utendaji ya Shirika  la Maendeleo la Taifa (NDC)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • NDC

JUMATANO
   28/03/ 2012
Kupitia na kujadili taarifa ya Utendaji ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS);

Kutembelea Quality Centre
  • Wajumbe
  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • TBS
  • Uongozi Quality Centre

ALHAMISI
29/03/2012
Kupokea na kujadili taarifa ya utendaji ya Shirika la Utafiti na Maendeleo ya  Viwanda Tanzania (TIRDO;

Kutembelea Home shopping Centre
  • Wajumbe
  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • TIRDO
  • Uongozi Home shopping centre

IJUMAA
30/03/2012
Kutembelea Mamlaka ya Maeneo Huru ya Uwekezaji (EPZA)

  • Wajumbe
  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • EPZA

JUMAMOSI &JUMAPILI
31/03/2012 &01/04/ 2012
Mapumziko ya wiki
  • Wajumbe
JUMATATU

02/04/2012
Kupata maoni ya Wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya mabadiliko ya Sheria mbalimbali za Biashara.

  • Waziri wa Viwanda na Biashara
  • Wadau


JUMANNE
03/04/2012
Kupokea na kujadili taarifa ya utendaji ya Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO);

  • Wajumbe
  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • SIDO

JUMATANO
04/04/2012
Bodi ya Leseni za Maghala Tanzania (TWLB);
Kutembelea Mikoani Traders Ltd


  • Wajumbe
  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • TWLB
  • Uongozi Mikoani Traders Ltd

ALHAMISI
05/04/2012
Kupokea na kujadili Taarifa ya utendaji ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE).
Kupitia taarifa ya Mwaka ya Kamati

  • Wajumbe
  • Wizara ya Viwanda na Biashara
  • CBE

IJUMAA
06/06/2012

IJUMAA KUU


JUMAMOSI & JUMAPILI
07/04/2012 &
08/04/2012
KUELEKEA DODOMA
·         Wajumbe
·         Katibu wa Bunge




No comments: