Monday, January 16, 2012

Rais Kikwete azindua jengo jipya la ofisi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali za mkoa wa Morogoro leo

 Wananchi wa Morogoro wakiwa wamejipanga barabarani kumlaki Rais Jakaya Kikwete akiwasili mkoani humo leo ili kuzindua jengo la ofisi za Mkoa za Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Serikali
 Jengo la Ofisi za Mdhibiti  na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali la Mkoa wa Morogoro
 Makamanda wa Brass Band ya Polisi wakimlaki Rais Kikwete
 Rais Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa ofisi hiyo akiwa ameongozana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw Ludovick Utouh
 Salaam kwa wafanyakazi
 Wafanyakazi wamejipanga kumlaki Rais Kikwete
 Sheikh wa Wilaya ya Morogoro akiomba  dua kabla ya uzinduzi
 Mkuu wa kanisa la KKKT mkoani Morogoro aki
 Dua ikiombwa
 Mwanahabari na mpiga picha mashuhuri mkoani Morogoro John Nditi akiwa kazini
 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw Ludovick Utouh
 Sehemu ya wageni waalikwa
 Wafanyakazi na wageni waalikwa
 MC Pascal Mayalla akiwa tayari kuendeleza libeneke
 Msoma shairi akifanya vitu vyake
 Ngoma ya asili ya mkoani Ruvuma ya Lizombe ilitumbuiza
 Mbunge wa Morogoro Mjini Mh Aboud na wageni waalikwa

 Rais Kikwete akiongea kabla ya kuzindua jengo hilo
 Rais Kikwete akipokea zawadi toka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw Ludovick Utouh

 Rais Kikwete akibadilishana mawazo na viongozi wa dini
 Rais Kikwete akisalimia wana CCM waliohudhuria
 Rais Kikwete akiongea na wabunge wa mkoa wa Morogoro

 Picha na viongozi wa dini na wa mkoa
 Picha na wakandarasi
 Picha ya pamoja na madiwani na viongozi wa mkoa
 Picha ya pamoja na wafanyakazi na viongozi
 Picha ya pamoja na viongozi wa mkoa
 Rais Kikwete akimwagilia maji mti alioupanda
 Rais Kikwete akitembezwa mjengoni na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw Ludovick Utouh
 Ofisi ya Mkaguzi mkuu wa mkoa
 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw Ludovick Utouh akimtembeza Rais Kikwete mjengoni
Rais Kikwete akizindua jengo hilo huku Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw Ludovick Utouh na mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera wakishangilia
Rais Kikwete akikata utepe kuzindua jengo hilo. Kushoto ni  Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Bw Ludovick Utouh na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera

No comments: