Monday, January 16, 2012

Khadija Kopa, Tip Top Connection wafunika Dar Live!

 watoto wakijiachia ndani ya Dar Live
 Denso wa Tip Top akiwa jukwaani
Moto wa Dar Live unazidi kupamba moto kila wiki na wikiendi iliyopita,mwimbaji taarab mahiri nchini Khadija Kopa akiwa na TOT pamoja na wasanii wa Tip Top Connection, wakiongozwa na Rais wao Madee, walitoa shoo kali ya kufa mtu na kuacha historia ya kipekee kwa wakazi wa wilaya ya Temeke na kwingineko waliohudhuria shoo hiyo. Picha zinaonesha sehemu ya mpango mzima ulivyokuwa:
 Ilikuwa ni full kujiachia tu
 Pazuri,patulivu na pana raha yake ndani ya Dar Live
 Wanamuziki wa Msongo wakiongozwa na Mkongwe Mzee Gurumo wakitumbuiza jukwaani.
 Watoto wakiogelea.
Watoto wakishindana kucheza kiduku jukwaani.

No comments: