Saturday, October 1, 2011

Kilimanjaro Beer Festival yafana viwanja vya Leaders Club leo na Kesho Jumapili

 Wadau wa kilaji cha Konyagi wakibarizi kwenye Kilimanjaro Beer Festival jioni hii katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam iliyoandaliwa na Bongo 5 na kudhaminiwa na Kilimanjaro Lager. Tamasha hili linafanyika leo na kesho Jumapili.
 Wadau wa konyagi
 Mzee David Mgwasa (shoto) akiwa na wadau meza kuu ya Tanzania distilleries  
 Wadau wakiwa hawana wasiwasi
 MultiChoice bin DSTV ndani ya festival
 Wadau wakisalimiana kwa furaha
 MC akisherehesha shughuli
 Bouncing castle kwa watoto
 Banda la Castle Lite
 Meneja wa kilaji cha Ndovu Premium na kinadada wanaopamba banda lake
 Baskteball ndani
 Banda la kilaji cha Safari Lager
 Castle Lite
 THT wakitoa burudani. Vikundi kibao vipo katika festival hii
 Mini-Golf banda la Ndovu
 Mfalme Siboka na mdau ndani ya nyumba
 Castle Lite thingzzz and pipo
 Wadau
 Dadiii.... mi n'taka chooodaaaaa.....
 Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager George Kavishe (kulia) akipata mawaidha toka kwa mdau Jones
 Ankal na wadau
 Nyama Choma kibao
 Bosi wa Tanzania Distrilleris David Mgwasa akionesha umahiri wake katika mini-golf
 Mgwasa na wadau
 wadau toka Southern Sun ndani ya Nyumba
 Mambo ya Kilimanjaro hayo....
 Wadau
 Wadau wa Grand Malt ndani ya nyumba
 Kilaji kila kona
 Wadau katika festival
Meneja wa kilaji cha Redds akiwa na kinadada wanaopamba banda lake leo

No comments: