Sunday, October 2, 2011

10/01/11 siku ya wazee duniani TUSHIKAMANE PAMOJA FOUNDATION

hapa ni kituo cha afya Yombo Kila kala.. Tulikutana na wazee zaidi ya 20, wote wana matatizo ya afya.
wengi wao ni presha ya juu, wengi wao hawajui na waliokuwa wana jua hawakuwa na dawa ama hawakuwa na fedha za kununulia madawa. Changamoto kubwa kwa wanahudhuri vituo vya afya ni kutopewa madawa, hupewa prescription ya kununulia dawa.


Hii hapa ni wheel chair ya Yombo kila




Dr MHadi magomeni manzese kwa mzee Issa, nae yuko kitandani hawezi kutembea na mkewe nae kama unavyooona akiwa anapimwa na Dr Evelyn Mkuchika. agesa na Dr Mboneka wakimhoji Bi Asha
Dr Mkuchika na Dr Mahiza wachukua maelezo na vipimo vya Fatuma
Dr Mahiza akijadiliana na mwenyekiti wa TPF mama Rose Mwapachu
Changa moto kubwa iliotupata ni jinsi ya kupata vipimo na upatikanaji wa madawa muhimu.

No comments: