Wednesday, August 10, 2011

Jaji Mkuu aapisha mawakili wapya 288 jijini Dar es salaam leo

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akimtunuku cheti mmoja kati ya mawakili wapya 288 wa Kujitegemea walioapishwa leo katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman akimtunukui hati y Uwakili  Bw. Lowassa
Sehemu ya watunukiwa
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman (wa saba kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Frederick Werema (wa tatu kulia) wakiwa pamoja na Majaji wa Mahakama ya Rufani katika picha ya pamoja na baadhi ya Mawakili wapya walioapishwa. Picha na Mary Gwera,Mahakama ya Rufani.
 Wakisubiri zamu ya kuchukua vyeti vyao
 Sehemu ya mawakili walioapishwa
 Firing squad...
Muda wa Taswira...
Kundi la pili
Familia zikifurahia 


Siku ya furaha kwa familia hizi
Kina mama wana kila haki ya kujidai baada ya binti zao kufanikiwa kuwa mawakili
Sehemu ya wadau
Familia yenye furaha
Mrakibu wa Polisi James Kasusura akipewa heko na mai waifu wake
WWakili mkuu wa serikali Mh. Werema akiwa meza kuu ya viongozi wengine wa TLS na Mahakama. Kulia ni Msajili wa mahakama ya Rufaa Mh. Francis Mutungi
Mdau akienda kukaa baada ya kutunukiwa uwakili
Kinadada nao wako mstari wa mbele kwenye taswira
Magwiji wa Sheria wastaafu
Mama Longway alikuwepo

wadau wakishuhudia vijana wakiukwaa uwakili
Wadau wakisubiria mdogo wao apate uwakili

1 comment:

Anonymous said...

Hongereni sana mawakili woote! Hongera Melinda Matinyi na Wote Mliosoma Kilakala Girls Morogoro! Am very proud of you!