Tuesday, January 25, 2011

Mnuso wa wana TSN na wadau wao

Lady Jd na bendi yake ya Machozi wakitumbuiza wikiendi iliyopita wakati kampuni Tanzania Standard Newspaper (TSN), wachapishaji wa magazeti ya serikali ya Daily News, Sunday News na HabariLeo walipoandaa mnuso wa kuukaribisha mwaka kwa ajili ya wadau na wateja wao wakuu katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar.
Kwa picha kibao za mnuso huo BOFYA HAPA

No comments: