Tuesday, January 25, 2011

TANZANIA STANDARD NEWSPAPER LTD WAALIKA WADAU KATIKA CHAKULA CHA USIKU KATIKA KUUKARIBISHA MWAKA 2011

Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN, wachapishaji wa magazeti ya serikali ya Daily News, Sunday News na HabariLeo, Bw. Mkumbwa Ally akikaribisha wageni kwenye chakula cha usiku ambacho kampuni hiyo kongwe ya magazeti ilipoandaa chakula cha usiku kwa wadau wakuu wake wakiwemo watoa matangazo na washirika wa kibiashara hoteli ya Kempinski mwishoni mwa wiki iliyopita
Mgeni RAsmi, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakarugenzi ya
TSN Bw. Wilson Mkama akiongea
Meza kuu
Ma Mc wa siku walikuwa Mhariri wa Mtandao wa TSN Jianga Alipo (shoto) na mwandishi mwandamizi wa HabariLeo Bi. Gloria Tesha
Afisa Uhusiano wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA)
Bw. Innocent Mungy akiongea kwa niaba ya wanahabari walioalikwa
Afisa mwandamizi toka Standard Chartered Bank akiongea kwa niaba ya taasisi za fedha na watangazaji wakubwa wa TSN
Wana TSN wakiwa na mdau toka Azania Bank (kulia)
Wana TSN wakifurahia mnuso huo
Baadhi ya wadau wakubwa wa TSN
Wadau wa TSN wakifurahia
Wana TSN wakiwa na furaha
Wadau wakuu wa TSN upande wa matangazo wakiwakilisha
Wadau wa matangazo TSN walikuwepo kwa wingi
Wadau wa TSN
Wadau wa TSN toka kila kona walikuwepo
Wadau wakiwa katika mnuso huo
Wana TSN na wadau mnusoni
Wana TSN wakiwa wamebana kimyaaaa....
Wana TSN wakijidai katika mnuso
Wana TSN wakijichanganya na wadau katika kusakata rhumba
Wana TSN wakilisakata bolingo
Wadau wa TSN wakifurahia muziki bomba wa Lady Jay D
Rhumba likiendelea
Ukumbi wa Kibo Ball room wa Kempinski ulipendeza kiaina
Wana TSN waandamizi wakiwa mezani pao
Wana TSN wakijumuika na wadau kwa picha ya pamoja
Wana TSN wakiwa na wadau waliowahi kufanya kazi nao
Mnuso ulikuwa poa
Msosi...
Maafisa waandamizi wa idara ya fedha wakipimana sahani
na mkuu wa wasanifu wa Daily News Bw. Maluba

wadau wa TBC (shoto) na Wizara ya Sheria na Katiba
(wa pili kuume) na wenyeji wao wa hoteli ya Kempinski
Balozi wa HabariLeo (kati) akila pozi na wana TSN
Waratibu wa shughuli hiyo wakifurahia
mambo yakienda mswano

Wadau waliojitokeza kwenye mnuso huo. Toka shoto ni mdau Albert toka UDSM, Albert Ngapemba (wakala wa usafiri wa anga) Vicky Msina (benki kuu) na Innocent Mungy (TCRA)
wadau wa Bwawa la Maini damu wa TSN katika picha ya pamoja. Toka shoto ni Ankal, Maluba, Nas Kilyinga na Chabby Barasa ambaye sasa yuko TANESCO ambaye pia ni Liverpool damu.

No comments: