Sunday, December 23, 2018

MKAGUZI WA JESHI LA POLISI AFUNGA NDOA

 Mkaguzi  wa Jeshi la Polisi, Hassan Makame ambaye ni Mkuu wa Askari wa Usalama Barabarani Kawe Dar es Salaam akiwa katika picha na mke wake, Mwanahawa Sheshe ambaye ni mwalimu wa Feza Intenational School Dar es Salaam mara baada ya kufunga ndoa, Dochi Lushoto Desemba 21, 2018 ambapo hafla fupi ya sherehe ya kuwapongeza inatarajiwa kufanyika katika ukumbi wa Elegence Hoteli Desemba 23, 2018 . (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 


 Mkaguzi  wa Jeshi la Polisi, Hassan Makame ambaye ni Mkuu wa Askari wa Usalama Barabarani Kawe Dar es Salaam akiwa katika pozi na mke wake, Mwanahawa Sheshe ambaye ni mwalimu wa Feza Intenational School Dar es Salaam mara baada ya kufunga ndoa, Dochi Lushoto Desemba 21, 2018 ambapo hafla fupi ya sherehe ya kuwapongeza inatarajiwa kufanyika Desemba 23, 2018 katika ukumbi wa Elegence Hoteli.


 Wanafamilia Familia wakiwa katika Gari wakielekea Dochi Lushoto  Mkaguzi  wa Jeshi la Polisi, Hassan Makame (wa pili kulia) ambaye ni Mkuu wa Askari wa Usalama Barabarani Kawe Dar es Salaam akiwa na ndugu na jamaa wakielekea Msikiti wa Dochi Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga
  Mkaguzi  wa Jeshi la Polisi, Hassan Makame (wa pili kulia) ambaye ni Mkuu wa Askari wa Usalama Barabarani Kawe Dar es Salaam akipeana mkono na Mzee Ally Sheshe kwa ishara ya kukamilisha tendo la kufunga ndoa katika Msikiti wa Dochi Uliopo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga

 Sheikh Mzimbili ambaye ni Babu wa Biharusi akizungumza jambo mara baada ya kufunga ndoa katika Msikiti wa Dochi Uliopo Wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga
 Bi harusi, Mwanahawa Sheshe ambaye ni mwalimu wa Feza Intenational School Dar es Salaam akiwa katika pozi nyumbani kwao baada ya kufungwa ndoa, Dochi Lushoto Desemba 21, 2018 ambapo hafla fupi ya sherehe ya kuwapongeza inatarajiwa kufanyika Desemba 23, 2018 katika ukumbi wa Elegence Hoteli. Bi harusi Mwanahawa Sheshe ambaye ni mwalimu wa Feza Intenational School Dar es Salaam akiwa katika pozi baada  ya kufunga ndoa yake na mume wake Hassan Makame ambaye ni Mkaguzi na Mkuu wa Askati wa Usalama Barabarani Kawe

 Familia ya Bwana harusi wakiwa nyumbani kwao na Bi harusi Dochi Lushoto


 Ndugu na jamaa waki msindikiza Bwana harusi kwa madufu kwenda kumchukuwa mkewake tayari kurudi Makuyuni Wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga 
 Ndugu na jamaa waki msindikiza Bwana harusi kwenda kumchukuwa mke wake tayari kurudi Makuyuni Wilaya ya Korogwe Mkoa wa Tanga
 Bwana harusi, Hassan Makame ambaye ni Mkaguzi na Mkuu wa Askati wa Usalama Barabarani Kawe akitoka na mkw wake akisindikizwa na ndugu na jamaa kuelekea Makuyuni Wilaya ya Korogwe

 Bwana harusi akimfunuwa mke wake mara baada ya kufunga ndoa 

 Bwana harusi, Hassan Makame ambaye ni Mkaguzi na Mkuu wa Askati wa Usalama Barabarani Kawe akitia saini katika hati ya ndoa. kulia ni mke wake na kushoto ni mpambe wa bwana harusi Simeon Magomba
 Bi harusi akitia saini katika hati ya cheti cha ndoa, kuanzia kushoto ni mpambe wa bwana harusi, Simeon Magomba na anaye shuhudia ni Mume wa biharusi,  Mkaguzi  wa Jeshi la Polisi, Hassan Makame ambaye ni Mkuu wa Askari wa Usalama Barabarani Kawe Dar es Salaam  
 Baadhi ya wafanyakazi wenzake na biharusi

Bwana harusi na Bi harusi Mwanahawa Sheshe ambaye ni mwalimu wa Feza Intenational School Dar es Salaam katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake


Akinamama wakiwa katika maandalizi ya kupika chai

No comments: