Thursday, December 6, 2018

BENKI YA NMB YATOA MSAADA WA VITANDA NA MASHUKA VYENYE THAMANI YA TSH. MILIONI 1O, KWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJAMeneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Abdalla Duchi akimkabidhi Mashuka na Kitanda Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) ni Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma (Mshua) na Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazimmoja Dkt. Ali Salum.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud (alievaa tai rangi ya bluu) akimkabidhi Kitanda na Mashuka Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazimmoja Dkt. Ali Salum (kulia) Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma, Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Abdalla Duchi na (kushoto) Meneja Uhusiano Faraja Kaziulaya kutoka Dar es Salam.

Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma (Mshua) na Mdau wa mambo ya afya akizungumza katika hafla ya kukabidhi msaada wa Vitanda na Mashuka kwaajili ya huduma za Kujifungulia katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja jengo la Dodoma.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Abdalla Duchi akizungumza na Mgeni Mwalikwa pamoja na Watendaji wa Hospitali ya Mnazi Mmoja kabla ya kukabidhi msaada wa Vitanda nane (8) na mashuka mia moja na ishirini (120) kwaajili ya Hospitali hiyo.
Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud ambae ni Mgeni Mwalikwa katika hafla ya kukabidhi Vitanda na Mashuka akizungumza machache kabla ya kukabidhiwa msaada huo( kulia) ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Zanzibar Abdalla Duchi, Meneja Miradi Benki ya NMB Lilian kisamba na Mbunge wa viti Maalum Wanawake CCM Asha Abdalla Juma (Mshua).
Watendaji wa Hospitali ya Mnazimmoja waliohudhuria katika hafla ya kukabidhiana msaada wa Vitanda na Mashuka.

No comments: