RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akihutubia wakati wa hafla ya Mkutano wa Tano wa Chama Cha
Wataalamu wa Figo Tanzania, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, leo 23/11/2018, na kuhudhuriwa
na Wataalamu wa Maradhi ya Figo kutoka Tanzania na Nje ya Tanzania.
WAZIRI
wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akizungumza wakati wa
Mkutano wa Tano wa Wataalamu wa Chama Cha Figo Tanzania, kabla ya
kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.
Dk. Ali Mohamed Shein, uliofanyika katika ukumbi wa Karume Hoteli ya
Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
MWENYEKITI
wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania Dr. Onesmo Kisanga ,
akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar, na
kuwashirikisha Wataalamu wa Maradhi hayo kutoka Tanzania na Nje,
uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar Dk. Shein
BAADHI
Madaktari Bingwa wa Maradhi ya Figo wakifuatilia hutuba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akifungua Mkutano huo, katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach
Resort Mazizini Zanzibar leo 23/11/2018.
BAADHI
ya Washiriki wa Mkutano wa Tano wa Wataalamu wa Chama Cha Figo Tanzania
wakifuatilia Mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia mkutano huo
uliofanyika katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
WANAFUNZI
wa Chuo Cha Afya Zanzibar wakifuatilia Mkutano huo wa Wataalamu wa
Chama Cha Figo Tanzania wakati wa ufunguzi huo uliofanyika ukumbi wa
Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
BAADHI
ya Madaktari wa Magonjwa wa Maradhi ya Figo wakifuatilia ufunguzi wa
Mkutano wa Tano wa Chama Cha Wataalamu wa Figo Tanzania uliofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibae Beach Resort Mazizina Zanzibar leo.
WAKWANZA
Mshauri wa Waziri wa Afya Dr. Mohammed Jidawi , Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu,Waziri
wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe Ali Karume na Naibu
Waziri Afya Zanzibar Mhe. Harusi Saidi Suleiman, wakifuatilia hutuba ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akimsikiliza Mtaalam wa Kampuni ya Harsh Pharmaceuticals Limited
ya Dar es Salaam,Ndg. Augustino Mbunda, akitowa maelezo ya Mashine ya
kusafishia Figo, wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Chama Cha
Wataalamu wa Figo Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Karume Hoteli ya
Zanzibar Beach Resout Mazizini Zanzibar kulia Waziri wa Afya Zanzibar
Mhe. Hamad Rashid na kushoto Mwenyekiti wa NESOT. Dr. Onesmo Kisanga,
wakati akitembelea maonesho hayo.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe Balozi Seif Ali
Iddi na kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamah Rashid Mohammed,
wakimsikiliza Mtaalamu wa Kampuni ya Harsh Pharmaceuticals Limited Ndg.
Augustino Mbunda, akitowa maelezo ya Dawa zinazotumika kwa Wagonjwa
waradhi ya Figo wakati akitembelea monesho kabla ya ufunguzi wa Mkutano
wa Tano wa Chama Cha Wataalam wa Figo Tanzania uliofanyika katika ukumbi
wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akisoma Kijarida cha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, wakati wa
mkutano huo wa Wataalamu wa Chama Cha Figo Tanzania,uliofanyika katika
ukumbi wa Karume Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed
Shein, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya
Kikwete(JKCI) Profesa Mohammed Janabi,kulia wakiwa nje ya ukumbi wa
mkutano baada ya ufunguzi huo, na kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.
Hamad Rashid Mohammed na Dr. Mohammed Jidawi Mshauri wa Waziri Afya
Zanzibar.(Picha na Ikulu )
No comments:
Post a Comment