Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet Hasunga akizungumza na Athumani Issa wakati alipotembelea nyumba ya kabila la Wamwela katika kijiji cha Makumbusho wakati wa kufunga tamasha la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika kijiji hicho jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet Hasunga akiwasaidia akina Mama wa kabila la Wamwela kutwanga nafaka wakati alipotembelea nyumba ya kabila la Wamwela katika kijiji cha Makumbusho wakati wa kufunga tamasha la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika kijiji hicho jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet Hasunga akipewa kibuyu chenye pombe na Halima Abdallah ambacho kimekuwa kikitumiwa na kabila hilo kunywea pombe wakati alipotembelea nyumba ya kabila la Wamwela katika kijiji cha Makumbusho wakati wa kufunga tamasha la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika kijiji hicho jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet Hasunga akiangalia baadhi ya mabaki ya samaki aina ya nguva aliyekutwa amekufa kando kando mwa bahari ya Hindi mkoani Lindi wakati alipotembelea mabanda kabla ya kufunga tamasha la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika kijiji hicho jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Maliasili na Utaliii, Mhe. Japhet Hasunga (katikati) akiwa na Mkuu wa mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi wakiwa wameongozana na Wakurugenzi pamoja na Wazee wa kabila la Wamwela wakati kutembelea nyumba ya kabila la Mwela katika kijiji cha Makumbusho kabla ya kufunga tamasha la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika kijiji hicho jijini Dar es salaam
Baadhi ya vikundi vya ngoma vikitumbuiza wakati wa kufunga tamasha la utamaduni wa mtanzania inayowakilishwa na jamii za mkoa wa Lindi lililofanyika kwa muda wa siku nne katika kijiji cha Makumbusho jijini Dar es salaam
( PICHA ZOTE NA LUSUNGU HELELA)
No comments:
Post a Comment