Friday, September 21, 2018

BURIANI MFALME WA REGGAE TANZANIA JAH KIMBUTE

 Jah Kimbute wakati wa uhai wake akiwa na kundi lake la Roots & Culture wakitunbuiza katika ukimbi wa YMCA jijini Dar es salaam
 Jah Kimbute wakati wa uhai wake akiwa na msanii nguli Mgunga mwa Mnyenyelwa kwenye moja ya matamasha mengi waliyofanya kazi pamoja
 Sehemu ya marafiki wa karibu wa Jah Kimbute wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018
  Sehemu ya marafiki wa karibi wa Jah Kimbute wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018

 Carola Kinasha, mwanamuzi mkongwe na rafiki wa karibu na wa siku nyingi wa Jah Kimbute,  akimfariji mtoto wa marehemu Ras Kimbute Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018

 Ras Kimbute, mtoto wa marehemu Jah Kimbute, akiwa na marafiki wa karibu wa baba yake Ras Inno Nganyagwa na DJ Ebony Moualim 
 Marafiki wakiaga mwili wa Jah Kimbute
 Jeneza lenye mwili wa marehemu Jah Kimbute likiingizwa garini tayari kwa safari ya kwenda Tanga kwenye mazishi
  Jeneza lenye mwili wa marehemu Jah Kimbute likiingizwa garini tayari kwa safari ya kwenda Tanga kwenye mazishi
  Ras Kimbute akiwa na marafiki wa karibu wa Jah Kimbute wakiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni baada ya kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018
 Marafiki wa karibu wa Jah Kimbute wakiomba dua katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni baada ya kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018
 Marafiki wa karibu wa Jah Kimbute wakiomba dua  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam Ijumaa jioni baada ya kuuaga mwili wa marehemu kabla ya kupelekwa Tanga kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi Septemba 22, 2018
 Gotta Irie, Mratibu wa msiba wa Jah Kimbute jijini Dar es salaam akimkabidhi Ras Kimbute ubani wa marafiki wa baba yake
Gotta Irie, Dj Ebony Moualim na Carola Kinasha wakimfariji Ras Kimbute kabla ya kuanza safari

No comments: