Saturday, July 14, 2018

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA MAFUTA YA KULA CHA JIELONG CHA SHINYANGA NA KUKUTA SHEHENA KUBWA YA MAFUTA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ndoo za mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG, nje kidogo ya mji wa Shinyanga Julai 14, 2018. Wapili kushoto ni Meneja wa kiawanda hicho Gemin Shoo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ndoo za mafuta ya kula yaliyokamuliwa kutokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG nje kidogo ya mji wa Shinyanga Julai 14, 2018. Kushoto ni Meneja wa kiwanda hicho, Gemin Shao.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za pamba wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta ya mbegu cha JIELONG kilichopo nje kidogo ya mji wa Shinyanga, Julai 14, 2018.

Sehemu ndogo ya shehena kubwa ya ndoo za mafuta ya kula yaliyotokana na mbegu za pamba yakiwa katika ghala la kiwanda cha JIELONG kilichopo nje kidogo ya mji wa Shinyanga ambacho Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikitembelea, Julai 14, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na viongozi wa kiwanda cha kukamua mafuta ya kula yanayotokana na mbegu cha JIELONG baada ya kutembelea kiwanda hicho kilichopo nje kidogo ya mji wa Shinyanga, Julai 14, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Telack.

No comments: