Wednesday, July 18, 2018

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKAKOGWA ZANZIBAR

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Zanzibar kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi, Julai 18, 2018.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Ayoub Mohammed Mahmoud.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya washiriki wa sherehe za Mwakakogwa wakati alipowasili Makunduchi Zanzibar kuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo, Julai 18, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuhitimisha  Sherehe za Mwakakogwa, eneo la Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye eneo la Shereza za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018. 
 Sehemu ya umati wa watu waliohudhuria katika Sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika  Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika sala ya kumwombea Rais wa Awamu ya Nne wa Zanzibar, Idris Abdul Wakil kwenye kaburi la Rais huyo enero la Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018.  Wengine pichani kutoka kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji, Sira Ubwa  Mwamboya, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja , Ayoub Mohammed Mahmoud na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,  Hassan Khatib Hassan. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mohammed Abdulwakil ambaye ni Kaka wa Rais  wa Awamu ya Nne wa Zanzibar, Idris Abdul Wakil  Wakati  alipozulu kaburi la Rais huyo, eneo la Makunduchi, Zanzibar Julai 18, 2018
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa kofia na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Sherehe za Mwakakogwa, Mwalimu Makungu Mwita katika sherehe za Mwakakogwa zilizofanyika Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Sherehe za Mwakakongwa  zilizofanyika Makunduchi Zanzibar Julai 18, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,  Hassan Khatib Hassan. 
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments: