Sunday, July 8, 2018

Vodacom Tanzania yaandaa hafla ya 'Bring Your Kid to Work,' Watoto wa wafanyakazi watembelea na kujifunza kuhusu kampuni hiyo

 Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakicheza muziki wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
 Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakishindana kucheza mchezo wa Fusball wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania plc, wakishindana kurusha kamba wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakichora picha wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Watoto wa wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc, wakiangalia sinema iliyoandaliwa kwa ajili yao wakati wa hafla ya Bring your kid to work iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.

No comments: