Hifadhi
ya Taifa ya Tarangire ipo upande wa Kusini Mashariki mwa Ziwa Manyara. Hifadhi
hii yenye ukubwa wa kilomita za mraba 2,850 inaweza kufikika kwa urahisi kutoka
Arusha iliyo umbali wa kilometa 118
kupitia barababra ya lami ya Arusha-Dodoma.
Mmoja wa wafanyakazi kwenye hifadhi
Mbuyu unaosadikiwa kuwa na umri wa miaka 800 |
Eneo la Minjingu
Bango likikualika Tarangire
Mtalii akijadiliana bei na mchuuzi wa vitu vya sanaa
Wananchi wakiendelea na maisha
Misuli na fulana sokoni
Mtalii kutoka China akiwa anatafuta picha nzuri
".....Haya piga fasta basi...."
Watalii wakijiandaa kwenda hifadhini
Watalii hifadhini
Ngedere akidowea chakula. Hata hivyo ni marufuku kulisha wanyama hifadhini kuepusha janga la maradhi
Vijana wwakicheza kabla ya kuingia hifadhini
Mhifadhi Tarangire National Park
No comments:
Post a Comment